A futuristic coast-based radio station addressing the authentic needs, issues and aspirations of the
(2)
30/07/2025
“ Wakati KIbaki na Matiba walitaka urais, hakuna siku niliona watu wa Mt. Kenya tukichomania manyumba na biashara na kuharibu mali kwa sababu ya siasa.” -Kindiki
30/07/2025
'Mamangu anatembea na kijana wa bodaboda mtaani Naumia sana mali ya babangu inaliwa.'
Je nifanyeje?
30/07/2025
Kubadili dini kisa mahusiano ni usaliti wa imani au ni Upendo?
30/07/2025
Je unaunga mkono pendekezo la NACADA lakupiga marufuku vileo maeneo ya umma?
30/07/2025
🔥🔥((((On-Air)))
Lemmy Lito Sogohe na Bishop Michael Otieno
🕝6PM- 10PM
HATHA NI HOWAA🤣
Karibu tuyazungumze mengi.
Unatusikiliza ukiwa wapi?
SkizaOnline:https: https://bit.ly/3P5WRvr📻
Studio Line: 0798 995 995
0784 925 925 || 0786 995 995 || 0783 995 995 || 0780 995 995
SMS: 23151
30/07/2025
Heri ufungue macho kuliko kufungua miguu🤣🤣
30/07/2025
((((OnAir))))) 🕝02pm - 06pm📻📻i🔥🔥
NA Mjukuu Wa Chirao na Baba Mkubwa Igwe
Mda ushafikaaa wa Burudani, Vicheko na Vitamu Vitamu!
Tumezima zote, ni hii tu🔥🔥😂
SMS: 23151
SkizaOnline: https://bit.ly/3P5WRvr
Studio Line: 0798 995 995
0784 925 925 || 0786 995 995 || 0783 995 995
30/07/2025
Kwanini watoto huwa wanawatumia pesa saana mama zao kushinda baba zao?
30/07/2025
RAIS YOWERI MUSEVENI AMEWASILI NCHINI
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesili humu nchini hii leo kwa ziara yake rasmi ya kikazi.
30/07/2025
🔥🔥((((On-Air na MTU BEI CHIGZ NGALA
🕝10am - 2pm⏰))))🔥 🔥
Show kubwa
Niambie mtaa wako unaowakilisha.
Be the first to know and let us send you an email when Msenangu FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.