Kilifi Gossip Club

Kilifi Gossip Club Lengo letu ni kuwafahamisha, kuwaelimisha na kuwaburudisha. Je, Una habari mpya hapo ulipo na ungependa watu wazijue?

Jukwaa la kuaminika linalokuletea habari za hivi punde, taarifa za dharura, matukio yanayovuma, burudani na maendeleo kutoka Kaunti ya Kilifi na maeneo mengine ya Kenya. Zitume kwetu kupitia SMS na utimize lengi lako...

● YANAYOJIRI. Kuna Ajali imefanyika huko Jilore in Malindi ambapo Gari la Mafuta limepinduka na kuanguka pembeni mwa bar...
31/07/2026

● YANAYOJIRI.

Kuna Ajali imefanyika huko Jilore in Malindi ambapo Gari la Mafuta limepinduka na kuanguka pembeni mwa barabara. Tayari Wenyeji wamejitokeza kwenye eneo la tukio ila Dereva ndio ameumia vibaya ako hali mahututi na amekimbizwa Hospitalini kwa matibabu ya dharura. Madereva mkuwe makini huko barabarani maana tunaishi mara moja huku duniani.

Good morning popote pale ulipo, tukitumahi umeamka salama, uh buheri wa afya na una energy ya kupambania riziki yako ya ...
31/07/2026

Good morning popote pale ulipo, tukitumahi umeamka salama, uh buheri wa afya na una energy ya kupambania riziki yako ya siku... Na iwe hivo, Mungu akujaalie, Akuepushe na ubaya, akupe mkate wako na hatimaye urudi nyumbani ukiwa salama, Ameen.

Acha tuianze siku...

30/07/2026

Sitawafundisha kila kitu!

NAIVAS, UNGA WA DOLA SIMA 2KG
Ni.... Ksh.102/= hadi Sunday Sunday

● YANAYOJIRI. Kuna Ajali imefanyika maeneo ya Kagombani, Magarini county ya  Kilifi ambapo Trailer imewagonga Ng'ombe am...
30/07/2026

● YANAYOJIRI.

Kuna Ajali imefanyika maeneo ya Kagombani, Magarini county ya Kilifi ambapo Trailer imewagonga Ng'ombe ambao walikuwa wanavuka barabara.

Hata hivo, hakuna majeruhi katika ajali hiyo ila kuna ng'ombe amekufa papo hapo.

Poleni sana kwa wauza butcher maana, kwenye hali k**a hii kuna jahazi mahali limeokolewa.

● TUSEMEZANE, Habari ya adhuhuri, hii ni ripoti ambayo kwa mzazi yeyote inachoma sana moyo. Ni uchungu sana kulipa karo,...
30/07/2026

● TUSEMEZANE,

Habari ya adhuhuri, hii ni ripoti ambayo kwa mzazi yeyote inachoma sana moyo. Ni uchungu sana kulipa karo, kununua baadhi ya vinavyohitajika shuleni japo si vyote maana maisha ya sasa wengi wetu tunajaribu sana kadri ya uwezo wetu angalau kuenda na wakati.

kisa cha Brenda, mwanafunzi wa kidato cha tatu aliyepotea kwao na hatimaye imesemekana alionekana maeneo ya Malindi, kuna tetesi kwamba jamaa mmoja alijinyakulia na siwezi sema amemuoa, la hasha. Hatuna ushahidi huo, ila kisheria na katiba ya nchi, mkikaa pamoja miezi 3 au zaidi nyinyi ni wachumba tayari, mnapaswa kuitwa wanandoa.

Ila ni mwanafunzi! Hii huwenda ikaleta maana ingine hasa k**a serikali itaingililia kati na iwapo, familia ya msichana huyu itachukua hatua za kisheria.

K**a wazazi, usifurahie mambo k**a haya, ukiwa na ufahamu saidia familia hii kutegua kitendawili cha mwana wao. M'barikiwe.

● UPDATES.
30/07/2026

● UPDATES.

● ATTENTION! Siku tatu zilizopita kuna hii pikipiki ilipatikana Shanzu, ikiwa na damu na imeisha mafuta, kwa ufupi ni k*...
30/07/2026

● ATTENTION!

Siku tatu zilizopita kuna hii pikipiki ilipatikana Shanzu, ikiwa na damu na imeisha mafuta, kwa ufupi ni k**a ya wizi halafu ilitelekezwa labda baada ya kuisha mafuta.
Nambari yake ya usajili ni (KMGZ 275 S) K**a una ufahamu nayo kindly mwambie mwenyewe iko Bamburi Police Station,

Share widely...

29/07/2026

Sahii Mtwapa, Shanzu, Bamburi, na Mombasa,
wale jamaa wa viparare wako kazi,
ficha M-Kopa yako... usijifanye umenunua tubonge!

29/07/2026

😔
STIMA IMEPOTEA COUNTRYWIDE!

Nini huwa shida na hizi nguo? Zikiwa kwenye midoli utatamani umnunulie zote, ila akivaa sasa!😅😅😅
29/07/2026

Nini huwa shida na hizi nguo? Zikiwa kwenye midoli utatamani umnunulie zote, ila akivaa sasa!😅😅😅

Address

Majengo
Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilifi Gossip Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kilifi Gossip Club:

Shortcuts

Share