Shirkomedia

Shirkomedia Best studio in Eastern & Central Africa from Mombasa. Book sessions with Prod. Shirko 0729500033/0796689378

29/09/2025

After 35 years of back-and-forth, the Department of Lands, Urban Planning, Housing and Serikali Mitaani has today taken a historic step in Shanzu Wayani. The CECM Mohamed Hussein Amadoh and Chief Officer for Lands held a fruitful engagement with residents, finalizing the resolution of long-standing land disputes and squatters’ issues. This milestone paves the way for the County Government of Mombasa’s commitment to deliver 30,000 title deeds by 2027 restoring dignity, ownership, and security to our people.

14/03/2025

4th Edition of the Burudani Experience presents to you Shirko and AKPE MOTION for the Swahili Culture and French Jazz Show at the Alliance Francaise de Mombasa. LELELE AFRICA also from Kenya will be giving out Taarab Vibes.
On the 22nd of this month from 6pm, come experience beautiful sounds from 3 different genres on one stage. fans

Entrance is absolutely free.
Don't miss!!!

27/12/2024

Ijumaa ya leo, nakuletea Qaswida nzuri kutoka kwake Dr. Malik El Kindy Qaswida yenye maneno mazuri ya kueleza radhi za wazazi na ukubwa wake pamoja na utukufu wa Radhi zake Mungu na hasira zake kuwa zipo pamoja na radhi za wazazi. Jipe muda usikilize qaswida hii walau ujipatie faida Tayari ipo youtube tunaona support yako kushare like comment na ku subscribe.
Directed by: Pmč KE
Produced by: Shirko
Studios: Shirkomedia
https://youtu.be/LeBu9gKdAls?si=L7j2k9Fn29gyWzKB

Tune of the day   🎵
16/11/2024

Tune of the day 🎵

Vya kwetu vina thamani ila hatuvithamini
14/11/2024

Vya kwetu vina thamani ila hatuvithamini

Wave changer!!!Dazlah comes alert with a hammer track   🎵The song is available on all digital music platforms Meanwhile ...
27/10/2024

Wave changer!!!
Dazlah comes alert with a hammer track 🎵
The song is available on all digital music platforms
Meanwhile lets enjoy the audiovisual 👇🏼👇🏼

Artist : Dazlah Song : KananijuliaStudio : SM RecordsProduced by : Shirko (Shirkomedia Entertainment)Recording Label : (Shirkomedia)Dir - PMCFor Bookings co...

Mafundi walioifanikisha   ya Mbosso Khan hit inayofanya vizuri mda huu
25/10/2024

Mafundi walioifanikisha ya Mbosso Khan hit inayofanya vizuri mda huu

Hawa mamufti wa wiwili mtu na mdogo wake ( Shirko kutoka Shirkomedia na kutoka tz ndio walihusika kwenye utamu wa kimwambao kwenye aala za muziki zilizoifanikisha hit ya yake Mbosso Khan ijumaa ya leo hii weka kwenye frame yako. wikiendi piteni na mwanenu Dazlah

Happy birthday kwako meneja mdogo Don Sami msumbufu wa kuwakera wasiopenda maendeleo ya wengine. Aka zako ni ndefu sana ...
23/10/2024

Happy birthday kwako meneja mdogo Don Sami msumbufu wa kuwakera wasiopenda maendeleo ya wengine. Aka zako ni ndefu sana kuliko sababu na maelezo ya comment za wababaifu. Mungu akubariki sana utimize ndoto zako ukianza na yale uliyoyashuhudia kuanza na kasi wiki hizi hadi mwakani kwenye siku k**a ya leo. Tunajua hutaki kutoa nafasi ila wahurumie jamaa zako😄

Jamaa wa kupendelewa wamekuja na hii ya kutoka taifa lingine😀
23/10/2024

Jamaa wa kupendelewa wamekuja na hii ya kutoka taifa lingine😀

Happy mashujaa day
20/10/2024

Happy mashujaa day

Mwalimu Keshasema! ✍🏻
18/10/2024

Mwalimu Keshasema! ✍🏻

Address

Mombasa

Opening Hours

Monday 14:00 - 20:30
Tuesday 14:00 - 20:30
Wednesday 14:00 - 20:30
Thursday 14:00 - 20:30
Friday 14:00 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shirkomedia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Shirkomedia:

Share