Manjonjo Digital Media

Manjonjo Digital Media Truth is important to us at any cost.

Waziri Kipchumba Murkomen atangaza Jumatano tarehe 27 kuwa likizo ya Eid-Ul-Adha.
25/05/2026

Waziri Kipchumba Murkomen atangaza Jumatano tarehe 27 kuwa likizo ya Eid-Ul-Adha.



Serikali yapunguza bei ya dizeli kwa Sh10, kutoka Sh242 hadi Sh232; mafutataa nayo yameongezwa kwa Sh38, sasa yatauzwa S...
19/05/2026

Serikali yapunguza bei ya dizeli kwa Sh10, kutoka Sh242 hadi Sh232; mafutataa nayo yameongezwa kwa Sh38, sasa yatauzwa Sh191; petroli yabaki vilevile

Hatua hii yasubiriwa kubaini iwapo itaridhisha wenye magari ya uchukuzi kusitisha mgomo uliokwamisha nchi siku nzima


Mamlaka ya kudhibiti kawi nchini EPRA imetangaza kupanda kwa bei ya mafuta, Super Petrol imeongezwa kwa shilingi 16.65 k...
14/05/2026

Mamlaka ya kudhibiti kawi nchini EPRA imetangaza kupanda kwa bei ya mafuta, Super Petrol imeongezwa kwa shilingi 16.65 kwa lita na Diesel imeongezwa kwa shilingi 46.29 kwa lita, huku bei ya mafuta ya taa itakisalia k**a ilivyo sasa.


Leo tunasherehekea wanawake jasiri,walezi wa familia na nguzo za jamii.Heri ya Siku ya Akina Mama!Kutoka kwetu sote — tu...
10/05/2026

Leo tunasherehekea wanawake jasiri,
walezi wa familia na nguzo za jamii.
Heri ya Siku ya Akina Mama!

Kutoka kwetu sote — tunasema ASANTE kwa kila jambo mnalofanya. ❤️


Rais wa William Ruto amewataka wakazi wanaoishi ndani ya Mukogodo Forest kuondoka mara moja, huku serikali ikiendelea ku...
08/05/2026

Rais wa William Ruto amewataka wakazi wanaoishi ndani ya Mukogodo Forest kuondoka mara moja, huku serikali ikiendelea kuimarisha operesheni dhidi ya wizi wa mifugo katika eneo hilo.

Akizungumza mbele ya umati wa wananchi, Rais alisema kuwa watu wanaokaa ndani ya msitu huo wanapaswa kuhama kwa hiari yao, akionya kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wale watakaopuuzia agizo hilo. Alisisitiza kuwa serikali imejizatiti kurejesha usalama na kulinda mali ya wananchi, hasa katika maeneo yanayokumbwa na visa vya uhalifu wa mifugo.

MABWENI MAWILI YACHOMWA MOTO KENYATTA HIGH SCHOOL!Hali katika Shule ya Upili ya Kenyatta sasa imedhibitiwa, hata hivyo m...
06/05/2026

MABWENI MAWILI YACHOMWA MOTO KENYATTA HIGH SCHOOL!

Hali katika Shule ya Upili ya Kenyatta sasa imedhibitiwa, hata hivyo mabweni mawili yamechomwa moto na mali ya thamani isiyojulikana imeharibiwa ndani na nje ya maeneo yaliyoteketea. Miongoni mwa mali zilizoharibiwa ni pamoja na taa za usalama zinazotumia nishati ya jua zilizokuwa katika uwanja wa shule, hali iliyoacha shule ikiwa gizani.
Wakati baadhi ya wanafunzi walifanikiwa kutoroka kupitia uzio, wengine wameendelea kubaki ndani ya eneo la shule.


Sherehe za kitaifa za Mashujaa 20 October 2026, zitaandaliwa Katika uwanja wa Kamariny, mjini Iten, kaunti ya Elgeyo Mar...
04/05/2026

Sherehe za kitaifa za Mashujaa 20 October 2026, zitaandaliwa Katika uwanja wa Kamariny, mjini Iten, kaunti ya Elgeyo Marakwet asema waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen.

Tunu ya Rabai 🇰🇪Leo historia imeandikwa!Joyce Mkambe Gandani kutoka Rabai ameapishwa rasmi kuwa Jaji wa High Court of Ke...
04/05/2026

Tunu ya Rabai 🇰🇪

Leo historia imeandikwa!
Joyce Mkambe Gandani kutoka Rabai ameapishwa rasmi kuwa Jaji wa High Court of Kenya.
Ni miongoni mwa majaji watatu wanawake kutoka Kilifi County waliokula kiapo leo—hatua kubwa kwa uwakilishi wa wanawake na maendeleo ya jamii ya wamijikenda.

Hongera sana Lady Justice Gandani 👏
Fahari ya Mijikenda!

Heri ya Siku ya Wafanyakazi! Leo tunatambua juhudi, jasho na mchango wa kila mfanyakazi katika kujenga taifa letu. Kazi ...
01/05/2026

Heri ya Siku ya Wafanyakazi! Leo tunatambua juhudi, jasho na mchango wa kila mfanyakazi katika kujenga taifa letu.
Kazi yako ina thamani, endelea kufanya kwa bidii, uadilifu na matumaini. Mungu azibariki kazi za mikono yako.

Bweni moja katika shule ya upili ya wavulana ya Dr. Aggrey lililoko Kaunti Ndogo ya Wundanyi, Kaunti ya Taita–Taveta, li...
30/04/2026

Bweni moja katika shule ya upili ya wavulana ya Dr. Aggrey lililoko Kaunti Ndogo ya Wundanyi, Kaunti ya Taita–Taveta, limeripotiwa kushika moto — miezi michache tu baada ya bweni lingine katika shule hiyo hiyo kuteketea kwa moto.

Hakuna majeruhi walioripotiwa kufikia sasa, huku kiwango cha uharibifu bado hakijabainika. Maelezo zaidi bado ni haba wakati mamlaka husika zikiendelea kusubiri ripoti kamili kuhusu tukio hilo.


Rais William Ruto aahidi kumnunulia mwanariadha Sabastian Sawe gari lolote analolitaka baada ya kuvunja rekodi ya Marath...
30/04/2026

Rais William Ruto aahidi kumnunulia mwanariadha Sabastian Sawe gari lolote analolitaka baada ya kuvunja rekodi ya Marathon na kuwa binadamu wa kwanza kukimbia chini ya saa mbili.


Address

Mombasa

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Manjonjo Digital Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share