Kubwa Studios Kenya

Kubwa Studios Kenya Recording / Mixing & Mastering
Located At Bamburi/Palestina/Old Malindi
Mombasa Kenya

12/02/2025

Mungu anipe nini k**a sio weweđź’•
Nitake nini vyote unanipa weweđź’•
My Valentine...❤💕❤

08/01/2025

Wewe ni msanii unatafuta mahali utafanya mziki wako k**a uko rada usipitwe na hii offer. Call us +254700676626

23/10/2024

Welcome
Kubwa Studios For More Info Call +254700676626

02/07/2024

Sisi ndio the future by Fari athman open verse by Lagodo Ke

Are you ready for Skb Rap Battle Final.? Will Happen 22nd of june at  who will be a winner?  **abiashara
12/06/2024

Are you ready for Skb Rap Battle Final.? Will Happen 22nd of june at who will be a winner?
**abiashara

Don't miss this friday  inside    and  will be performing
11/06/2024

Don't miss this friday inside and will be performing

Are You Ready For Skb Rap Battle Semi Final?Will Happen This Friday 31st May At  Bamburi   **abiashara
27/05/2024

Are You Ready For Skb Rap Battle Semi Final?
Will Happen This Friday 31st May At Bamburi **abiashara

Siku ni Friday date 24th may ndani ya  fika mapema usisubiri kusimuliwa   Listening Party
22/05/2024

Siku ni Friday date 24th may ndani ya fika mapema usisubiri kusimuliwa Listening Party

Bila kukosa hii ni kubwa zaidi kutoka pwani ya kenya na afrika mashariki yote   anakukaribisha wewe na jirani yako kweny...
16/05/2024

Bila kukosa hii ni kubwa zaidi kutoka pwani ya kenya na afrika mashariki yote anakukaribisha wewe na jirani yako kwenye huu uzinduzi wa Third Eye Album unaambiwa mawe yaliyomo kwenye hii album hakuna wakuikomboa maana jiwe moja nisawa na ngoma zao kumi sasa kazi iko hapa anaebisha alete vigezo Listening Party ndani ya Bamburi barabara ya Vescon Estate tarehe ni 24 mwezi huu yani wiki ijayo siku ya ijumaa milango itakuwa wazi kwaajili yako burudani bila kifani

Leo pre audition level imekua vyema na marapper wamejitokeza kwa wingi kutoka maeneo tofauti ya pwani   na waliofuzu na ...
10/05/2024

Leo pre audition level imekua vyema na marapper wamejitokeza kwa wingi kutoka maeneo tofauti ya pwani na waliofuzu na kupita ni 30 .So kesho kwanzia saa nane mchana tunaanza round one ili tuweze kubaki na walio bora zaidi.

Karibu ujiunge nasi at Alliance Française, Nyali saa nane mchana ili kushuhudia your favourite rappers .

Free Entry !
Don’t miss out! Usikose!

Fomu ndio hii hapa kwa wale marapa wa swahili rap tupatane ijumaa hii ya tarehe 10 may pale nyali kuanzia saa tatu asubu...
07/05/2024

Fomu ndio hii hapa kwa wale marapa wa swahili rap tupatane ijumaa hii ya tarehe 10 may pale nyali kuanzia saa tatu asubuhi fika mapema njoo uonyeshe uwezo wako na uondoke na mkwanja mrefu season one

Address

Kubwastudios001@gmail. Com
Mombasa
80100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kubwa Studios Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kubwa Studios Kenya:

Share