NYOTA TV

NYOTA TV Hapo ulipo twang'aa
(4)

23/09/2025

Walimu Busia wapinga sera ya JSS kusimamiwa na shule za msingi, chama cha KUPPET chataka JSS kujisimamia.

23/09/2025

Serikali inapania kuwaajiri polisi wa KDF mwezi ujao huku ikishirikiana na DCI kupambana na ufisadi katika bima ya SHA, Mwaura atetea miradi ya serikali.

23/09/2025

Tume ya kupambana na ufisadi yachunguza mchakato wa ajira Siaya, inadaiwa kuwa wahudumu wa afya 500 waliajiriwa kinyume na sheria.

22/09/2025

Makundi ya vijana yaandaa hamasa kwa vijana Mumias.

22/09/2025

Naibu wa DCP Cleophas Malala anamtaka Spika Wetangula kuwataja wabunge wafisadi baada ya Rais Ruto kusema kuwa mabunge yamegubikwa na ufisadi.

22/09/2025

EACC yaonya madiwani wa Magharibi kuhusu kujihusisha na ulaghai wa zabuni.

22/09/2025

Rais Ruto amewataka marais wenzake wa Afrika kuzingatia uimarishaji wa vikosi vya umoja wa mataifa.

Address

Exe, Lukoye
Mumias

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NYOTA TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NYOTA TV:

Share

Black Monday at St.Mary’s Girls’ High School,Mumias.

Police have vowed to conduct investigations as soon as possible with one of the board managers confirming that the students have been forced to a mandatory break of a week.