NHP MUSIC Studio

NHP MUSIC Studio Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from NHP MUSIC Studio, Media/News Company, Nairoba.

Uchira SDA Choir At Studio
15/09/2024

Uchira SDA Choir At Studio

https://youtube.com/?si=FbdBUR9nIAf56AB6KARIBU NHP Studio 2024Hapa Utapata Kazi Zetu Video Kali za Kwaya Na Mahubiri 1,T...
06/08/2024

https://youtube.com/?si=FbdBUR9nIAf56AB6

KARIBU NHP Studio 2024
Hapa Utapata Kazi Zetu Video Kali za Kwaya
Na Mahubiri

1,TUNAREKODI AUDIO
Audio Recording

2, TUNAFANYA VIDEO
Video Shooting

3,TUNATENGENEZA VIDEO ZA MATUKIO MAALUMU
Video documentarys

4,TUNATENGENEZA MZIKI
Music 🎵 🎵 Programing
Nk,
Usisahau Ku SUBSCRIBE COMMENT LIKE AND SHARE You Channel

NHP Studio Ulipo Tupo tunawakilisha Vyema Kabisa

Album Recording | Music Programming | Song Creation | Song Teaching | Graphics | DVD/CD duplication | Seventh Day Adventist Music | Seventh Day Adventist Videos and Video shooting

https://youtu.be/8W9u7UgF0Xk?si=hiCCUFRO2GMID6qp Habari Rafiki Yangu NHP Studio kipekee NHP Studio Moshi TZ tunapenda ku...
17/05/2024

https://youtu.be/8W9u7UgF0Xk?si=hiCCUFRO2GMID6qp

Habari Rafiki Yangu

NHP Studio kipekee NHP Studio Moshi TZ tunapenda kutambulisha kwenu Wimbo Huu Mpya Kabisa Toka NJORO SDA CHURCH CHOIR

YUAJA NA UJIRA MIKONO Usisahau Ku SUBSCRIBE COMMENTS LIKE And SHARE Njoro SDA Church Choir Ili uwe Wa kwanza Kupata Nyimbo zao Mpya Kila Wakati BWANA akubariki unapoendelea Kubarikiwa na Wimbo Huu

Asanteni wapenzi watazamaji na wafuatiliaji wa chaneli yetu, tunapenda kuwaletea wimbo wetu mpya ''AHADI ZA BWANA'' umeshawahi kufikiria kukutana na ahadi za...

Karibu Sana Rafiki Yangu
17/04/2024

Karibu Sana Rafiki Yangu

KATIKA MAISHA YETU YA KIROHO TUNAYO PITIA KRISTO HUJIBU MAOMBI YETU TUMUOMBAYO KWA WAKATI IWE WAKATI WA SHIDA WAKATI WA ...
12/04/2024

KATIKA MAISHA YETU YA KIROHO TUNAYO PITIA KRISTO HUJIBU MAOMBI YETU TUMUOMBAYO KWA WAKATI IWE WAKATI WA SHIDA WAKATI WA RAHA MWOMBE MUNGU NDIO JIBU LA YOTE...
WIMBO HUU UKA KUBARIKI NA UKA KUONGOZE KATIKA MAOMBI UMUOMBAYO..🙏

Subscribe
Like
Comment
Share
🤗🤗🤗

https://youtu.be/V1mvwktZ3tA?si=9jibJ1EJEUkbJh36Karibu Sana Rafiki Yangu Tubarikiwe Pamoja na Wimbo Huu Toka kwao PENYEZ...
15/03/2024

https://youtu.be/V1mvwktZ3tA?si=9jibJ1EJEUkbJh36

Karibu Sana Rafiki Yangu Tubarikiwe Pamoja na Wimbo Huu Toka kwao

PENYEZA KWAYA
Usisahau Ku SUBSCRIBE COMMENTS And Share

NHP Studio Tunawakilisha Vyema Kabisa

Karibu mpendwa Tubarikiwe Pamaja

https://youtu.be/1Qm9W34m_NE?si=JgVatW2BWjCShGIA TUCASA TANZANIA POLICE SCHOOL ADVENTIST CHOIR MOSHI Tz ( TPS ) Tunakuka...
19/02/2024

https://youtu.be/1Qm9W34m_NE?si=JgVatW2BWjCShGIA

TUCASA TANZANIA POLICE SCHOOL ADVENTIST CHOIR MOSHI Tz ( TPS ) Tunakukaribisha Kubarikiwa na Wimbo Wetu Mpya na Pia Ndiyo Wimbo Umebeba Jina La Album Yetu ya Nyimbo nane Ndiyo Wa Kwanza Kuingia YouTube tunaimani Utabarikiwa Sana na Usisite kumshirikisha Mwenzako
Kazi Safi Tuko kwao NHP Studio Moshi TZ

Karibu Sana Rafiki Yangu Tubarikiwe Pamoja na Wimbo Huu Toka kwao TUCASA TANZANIA POLICE SCHOOL ADVENTIST CHOIR MOSHI Tz

https://youtu.be/rkk7Gm3cnxU?si=uMEyCuSVS93VwHh4Mpendwa Habari za AsubuhiNapenda kukukaribisha Kubarikiwa Pia na Wimbo H...
11/01/2024

https://youtu.be/rkk7Gm3cnxU?si=uMEyCuSVS93VwHh4

Mpendwa Habari za Asubuhi
Napenda kukukaribisha Kubarikiwa Pia na Wimbo Huu Toka kwao TUCASA MWENGE

Ujumbe Wa Wimbo Huu Naufanyike Baraka Kwako Katika Maisha Yako
Audio Recording na Video Shooting ni Kazi Safi na Bora Toka kweo NHP Studio Moshi TZ

BWANA AKUBARIKI SANA

https://youtu.be/XPY2YfJP7N0?si=hpmGv3G582d2KH3rMambo Ni Moto Sana Hii Ndiyo MICHUNGWANI SDA CHURCH CHOIR TANGANHP Studi...
11/10/2023

https://youtu.be/XPY2YfJP7N0?si=hpmGv3G582d2KH3r

Mambo Ni Moto Sana Hii Ndiyo MICHUNGWANI SDA CHURCH CHOIR TANGA

NHP Studio Moshi TZ Tunawakilisha Vyema Kabisa Endelea Kubarikiwa Pamoja na Wengine Amina

Karibuni Wote Tarehe 29/10/2023 Tubarikiwe Pamoja Katika kuweka Wakf DVD ya Kwaya Yetu ya MICHUNGWANI na Bwana Atakubariki Unapopanga kuwepo

https://youtu.be/SUkpLSGFOdk?si=i47o72NU9l_m2008Ni Mmoja Kati ya Nyimbo Ambazo zimewabariki Sana sana Watu WengiNa Wewe ...
29/09/2023

https://youtu.be/SUkpLSGFOdk?si=i47o72NU9l_m2008

Ni Mmoja Kati ya Nyimbo Ambazo zimewabariki Sana sana Watu Wengi

Na Wewe pia Utabarikiwa

NJORO FAMILY CHOIR Tuko Pamoja na Wewe Karibu Ku SUBSCRIBE LIKE COMENT And SHARE NJORO FAMILY CHOIR CHANNEL YouTube

Hongera Kwao NHP Studio Moshi TZ Kwa Kutujali na Kuifanya Kazi Zetu ziwafikie Nawe Unaweza kuwatumia pia Kwa Audio na Video Utabarikiwa

Njoro family kwaya tunakualika kuutazama wimbo huu ni hakikia utabarikiwa sana karibuni tubarikiwe pamoja

Address

Nairoba
00100

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NHP MUSIC Studio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share