Pastor Ashton sifuna wamalwa

Pastor Ashton sifuna wamalwa ASHTON SIFUNA WAMALWA # YOU TUBE CHANEL SUBSCRIBE LIKE AND COMMENT..πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ NAIROBI. FOLLOW ME WHATSAPP #0713163346 #.

HOME KAKAMEGA NAVAKHOLO SUB COUNT BUCHANGU VILLAGE.

03/10/2026
30/09/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Ernest Jones, Sheillah Akhamile, Emmanuel Johnson

Nakutakia jumapili njema yenye baraka tele na amani πŸ™βœ¨
27/09/2026

Nakutakia jumapili njema yenye baraka tele na amani πŸ™βœ¨

18/09/2026

Yakobo 3:13-18
13 N'nani aliye na hekima na ufahamu kwenu? Na aonyeshe kazi zake kwa mwenendo wake mzuri, katika upole wa hekima.

14 Lakini, mkiwa na wivu wenye uchungu na ugomvi mioyoni mwenu, msijisifu, wala msiseme uongo juu ya kweli.

15 Hekima hiyo siyo ile ishukayo kutoka juu, bali ni ya dunia, ya tabia ya kibinadamu, na Shetani.

16 Maana hapo palipo wivu na ugomvi ndipo palipo machafuko, na kila tendo baya.

17 Lakini hekima itokayo juu, kwanza ni safi, tena ni ya amani, ya upole, tayari kusikiliza maneno ya watu, imejaa rehema na matunda mema, haina fitina, haina unafiki.

18 Na tunda la haki hupandwa katika amani na wale wafanyao amani.

Pastor Ashton sifuna wamalwa
Phanice Awinja

Address

Ngara Road
Nairoba

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Ashton sifuna wamalwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share