Al Huda TV Kenya

Al Huda TV Kenya Welcome to Al Huda TV official facebook account. We are based in Masjid Al-Huda, South B, Nrb, Kenya

23/07/2025

Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh Watzamajhi Wetu, Insha'Allah Asubuhi Karibuni Kwenye Sabah Al Khair, Uchambuzi Wa Magazeti

20/07/2025
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh, Ungana nasi mida ya saa 8:30 leo usiku katika kipindi Miangaza ya Fatwa mada ...
20/07/2025

Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh, Ungana nasi mida ya saa 8:30 leo usiku katika kipindi Miangaza ya Fatwa mada ikiwa ni Uislamu na Haki za Binadamu.

20/07/2025

REMEMBER TO LIKE, SUBSCRIBE AND SHARE....PLEASE FOLLOW US ON ALL OUR SOCIALS

19/07/2025

DARSA LA TAFSIIR | SURAH AL-HASHR AYA 22-23 | SHEIKH MBARAK AWES | MASJID AL HUDA SOUTH B |

Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh, Darsa La Tafsir litaendelea leo k**a kawaida inshaAllah ungana nasi kuanzia b...
19/07/2025

Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh, Darsa La Tafsir litaendelea leo k**a kawaida inshaAllah ungana nasi kuanzia baadal Maghrib tukiwa na Sheikh Mbarak A. Awes

Baraka kubwa kwa AlHuda! Sheikh Habib Omar Bin Hamid Al Jeilani ametutembelea katika Msikiti wa AlHuda na kushiriki kati...
18/07/2025

Baraka kubwa kwa AlHuda! Sheikh Habib Omar Bin Hamid Al Jeilani ametutembelea katika Msikiti wa AlHuda na kushiriki katika zoezi la kutembelea ujenzi wa upanuzi wa Shule ya AlHuda. Aliongoza dua maalum na kuweka jiwe la msingi kuashiria mwanzo wa hatua mpya ya maendeleo ya elimu katika jamii yetu. Alhamdulillah kwa ziara hii yenye baraka.

Tulipata heshima kubwa na baraka kuu kumpokea Sheikh Habib Omar Bin Hamid Al Jeilani katika Msikiti na Kituo chetu cha T...
18/07/2025

Tulipata heshima kubwa na baraka kuu kumpokea Sheikh Habib Omar Bin Hamid Al Jeilani katika Msikiti na Kituo chetu cha Televisheni cha Al Huda. Maneno yake ya hekima, unyenyekevu, na upendo kwa Ummah yaligusa nyoyo zetu. Mwenyezi Mungu amhifadhi na amzidishie kheri. πŸ€πŸ“ΏπŸ•Œ

18/07/2025
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh, ni furaha yetu kuwajuza maratib na majirani wa Masjid Al-Huda kuwa Ijumaa hii...
17/07/2025

Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh, ni furaha yetu kuwajuza maratib na majirani wa Masjid Al-Huda kuwa Ijumaa hii tutakuwa na mgeni Al-Habib Umar Bin Hamid Al-Jailani ambaye pia atakuwa Khatib wetu katika Swala ya Ijumaa. Nyote mnaalikwa kujumuika nasi kuanzia saa sita mchana.

17/07/2025

PLEASE FOLLOW US ON OUR SOCIALS AND REMEMBER TO SUBSCRIBE AND SHARE

16/07/2025

Address

Nairobi Industrial Area

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Al Huda TV Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Al Huda TV Kenya:

Share