18/02/2026
Huyu Jamaa Huwa anazunguza Mandazi and other Snacks kwa maduka Leo aliamka tu vizuri akifikiria itakuwa tu K**a siku zile zingine ile hakujua kwamba itakuwa siku yake ya mwisho duniani na hutarudi nyumbani Tena kwa familia yake. Amepata accident akakufa hapo hapo. May his soul rest in peace.