Ikoomi Radio

Ikoomi Radio Online Radio For Everyone

"Nikikuwa president vijana wote wataoa within 1 year. Vijana wengi wameshindwa kuoa kwa sababu maisha iko juu. Msijali N...
03/12/2025

"Nikikuwa president vijana wote wataoa within 1 year. Vijana wengi wameshindwa kuoa kwa sababu maisha iko juu. Msijali Nitafanya gharama ya maisha iende chini" ~RIGATHI GACHAGUA

"Hii kazi ya kukuwa rais sio rahisi. Kila siku unapigiwa kelele. Mimi nangoja siku zangu ziishe niende." ~William Ruto
02/12/2025

"Hii kazi ya kukuwa rais sio rahisi. Kila siku unapigiwa kelele. Mimi nangoja siku zangu ziishe niende." ~William Ruto

01/12/2025

STEPHEN KASOLO: Wakamba walijitia aibu sana. Walikataa kuenda kusaidia Mama Benja.

Pastor Kanyari anasema Tash amekataa kumpea watoto wake. Anadai Tash amekuwa akimtumia message akimuuliza k**a anampenda...
01/12/2025

Pastor Kanyari anasema Tash amekataa kumpea watoto wake. Anadai Tash amekuwa akimtumia message akimuuliza k**a anampenda vile alikuwa anapenda Betty Bayo.

"Tash bado hajanipea watoto wangu moyo wangu. Ananitumia message tu aniuliza k**a nampenda vile nilikuwa napenda Betty Bayo. Moyo wangu unaumia sana sina amani" ~KANYARI

Kalonzo Musyoka amekanusha maneno ya Gachagua kwamba wamekubaliana chama cha DCP kichukue viti zote kubwa za Nairobi 202...
01/12/2025

Kalonzo Musyoka amekanusha maneno ya Gachagua kwamba wamekubaliana chama cha DCP kichukue viti zote kubwa za Nairobi 2027.

Kalonzo alisema kuna watu wanatumika kuleta mgawanyiko kati yake na Gachagua.

Hata hivyo Kalonzo Musyoka alisema kwamba akona imani Gachagua atamsaidia kuchukua kiti cha urais kwenye uchaguzi wa 2027.

Ikoomi Radio

"Biashara zote Nairobi ni zetu sisi Wakikuyu, sisi ndio wengi Nairobi, lazima tuchukue viti zote Nairobi" ~RIGATHI GACHA...
30/11/2025

"Biashara zote Nairobi ni zetu sisi Wakikuyu, sisi ndio wengi Nairobi, lazima tuchukue viti zote Nairobi" ~RIGATHI GACHAGUA

Mwanaume alishambuliwa na kutimuliwa kwenye mazishi Makueni baada ya kusema “Mutula One Term” mbele ya Gavana Mutula Kil...
29/11/2025

Mwanaume alishambuliwa na kutimuliwa kwenye mazishi Makueni baada ya kusema “Mutula One Term” mbele ya Gavana Mutula Kilonzo Jr.

"Niliwaambia wasipotafuta sera watachelewa. K**a WANTAM na MUST GO ndio sera yao 2027 nitawaonyesha kivumbi." ~WILLIAM R...
28/11/2025

"Niliwaambia wasipotafuta sera watachelewa. K**a WANTAM na MUST GO ndio sera yao 2027 nitawaonyesha kivumbi." ~WILLIAM RUTO

Ken Wamaria ameimba upya wimbo wa Kalonzo Musyoka wa kampeni alioutoa wakati wa uchaguzi wa 2007.Ken amebandilisha lugha...
28/11/2025

Ken Wamaria ameimba upya wimbo wa Kalonzo Musyoka wa kampeni alioutoa wakati wa uchaguzi wa 2007.

Ken amebandilisha lugha ya wimbo huo kutoka kuwa wa Kikamba na kuimba kwa lugha ya Kiswahili.

Ken ambaye ni mfuasi wa Kalonzo Musyoka kwa muda mrefu ametoa wimbo huu wakati Kalonzo anaendelea kujipanga kwenye kinyang'anyiro cha urais kwenye uchaguzi wa 2027.

Ikoomi Radio

"Ukambani ni zone ya Wiper na sio zone ya kuchezea. 2027 Kalonzo atachukua kiti ya urais" ~WAVINYA NDETI
28/11/2025

"Ukambani ni zone ya Wiper na sio zone ya kuchezea. 2027 Kalonzo atachukua kiti ya urais" ~WAVINYA NDETI

GACHAGUA AANGUSHWA NYUMBANIRigathi Gachagua, ambaye mara nyingi amejionyesha k**a mwenye ushawishi mkubwa katika siasa z...
28/11/2025

GACHAGUA AANGUSHWA NYUMBANI

Rigathi Gachagua, ambaye mara nyingi amejionyesha k**a mwenye ushawishi mkubwa katika siasa za Mlima Kenya, amepata pigo baada ya mgombea aliyemuunga mkono kushindwa katika uchaguzi mdogo wa Mbeere North.

Katika matokeo yaliyotangazwa, mgombea wa chama cha Rais William Ruto (UDA) amembwaga mgombea wa Gachagua, hatua inayochukuliwa k**a ishara ya kudhoofika kwa ushawishi wake katika eneo hilo.

Kiti cha Mbeere North, ambacho hapo awali kilikuwa mikononi mwa chama cha mlengo wa upinzani (DP), sasa kimeangukia rasmi kwa chama tawala cha UDA.

Ikoomi Radio

KALONZO MATIANG'I BABA LAOKalonzo Musyoka na Fred Matiang'i wameonyesha kuwa na uzito mkubwa wa kisiasa nyumbani kwao ba...
28/11/2025

KALONZO MATIANG'I BABA LAO
Kalonzo Musyoka na Fred Matiang'i wameonyesha kuwa na uzito mkubwa wa kisiasa nyumbani kwao baada ya 'candidates' wao kushinda uchaguzi na kura nyingi kuliko 'candidates' wengine wa upinzani walivyoshinda kwa kung'ang'ana.

Address

Nairobi West
00100

Website

https://youtube.com/@ikoomi-tv?si=sdXDsB_jUsczfoKq, https://youtube.

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ikoomi Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share