
20/06/2025
Hon. Joe Kigara MCA, Ngโenda Ward alipewa 1.9 million awagawie hawa wenzake ili waangushe supplementary budget ambayo imebeba mambo ya development katika Kiambu county. Lakini MUNGU ni mwema MCAs wengi walipingana naye na wakaweza kupitisha iyo bajeti. Bajeti hio isingepita maendeleo ambayo ilikua imepangwa haingefanyika mwaka huu.Huyu atafanya Ngenda isikue inafaidika na maendeleo kutoka kwa county government ya Kiambu.