STORY YANGU MEDIA KENYA

STORY YANGU MEDIA KENYA Story Yangu Media Kenya is an independent digital media platform delivering news, stories, and real-life updates from Kenya and beyond.

We focus on truth, awareness, and community voices.
πŸ“© Contact: [email protected]
πŸ“± WhatsApp: +254101692006

πŸ‡°πŸ‡ͺ🚨 RUTO: WAGENI WAKO HURU KUFANYA KAZI KENYARais William Ruto amesema raia wa kigeni wako huru kufanya kazi nchini Keny...
12/09/2026

πŸ‡°πŸ‡ͺ🚨 RUTO: WAGENI WAKO HURU KUFANYA KAZI KENYA
Rais William Ruto amesema raia wa kigeni wako huru kufanya kazi nchini Kenya, akisisitiza kuwa hakuna mwananchi mwenye haki ya kuwadhuru au kuwatendea vibaya wageni.
Kauli hiyo imeibua mjadala kuhusu ajira, biashara na nafasi ya raia wa kigeni nchini Kenya.
πŸ“° STORY YANGU MEDIA KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ

11/09/2026

10/09/2026

Kenya

πŸ‡°πŸ‡ͺ JOHN METHU AMTEMBELEA OBURU ODINGA NAIROBISeneta wa Nyandarua John Methu amefanya ziara ya heshima kwa Seneta wa Siay...
04/09/2026

πŸ‡°πŸ‡ͺ JOHN METHU AMTEMBELEA OBURU ODINGA NAIROBI

Seneta wa Nyandarua John Methu amefanya ziara ya heshima kwa Seneta wa Siaya Oburu Odinga katika makazi yake jijini Nairobi.

πŸ‘€ Ziara hiyo imezua hisia na maswali miongoni mwa Wakenya kuhusu mazungumzo yaliyofanyika wakati wa mkutano huo.

04/09/2026

VIDEO LOADING… πŸ”₯πŸ”₯ Stay tuned, guys! πŸ˜Žβ€οΈβ€

πŸ’” TUMEMPATA COLLINS!Mmoja wa team ya Story Yangu Media Kenya Kwajina Doctor Bonaventure leo amekutana na Collins maeneo ...
02/09/2026

πŸ’” TUMEMPATA COLLINS!
Mmoja wa team ya Story Yangu Media Kenya Kwajina Doctor Bonaventure leo amekutana na Collins maeneo ya Embakasi Mowlem, Nairobi, na kuzungumza naye kuhusu hali yake ya sasa. Kulingana na Maelezo kutoka kwake,
Collins pia alimueleza kuwa Amekuwa akipitia changamoto na mguu wake wa bandia, akisema ulikuwa umeanza kupata tatizo na kwamba alikuwa akielekea hospitalini kwa ajili ya matibabu, Hata hivyo, Story Yangu Media Kenya haijathibitisha kitabibu hali hiyo.

Collins ni kijana ambaye story yake iliwahi kugusa wengi baada ya kusaidiwa kupata mguu wa bandia.
Lakini maisha yake yakoje leo? πŸ˜”
Kesho tunatarajia kukutana naye tena kwa mazungumzo zaidi na kusikia story yake moja kwa moja. πŸ™β€οΈ
Usikose update kutoka Story Yangu Media Kenya.

Address

Nairobi
Nairobi West
00100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when STORY YANGU MEDIA KENYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to STORY YANGU MEDIA KENYA:

Shortcuts

Share