01/10/2025                                                                            
                                    
                                                                            
                                            ๐๐ผ๐ ๐๐ผ ๐๐๐ฟ๐๐ถ๐๐ฒ ๐ถ๐ป ๐ก๐ฎ๐ถ๐ฟ๐ผ๐ฏ๐ถ .
๐ฅ๐๐น๐ฒ ๐ก๐ผ.1
Ukikatiwa Mtura, mwambie aonje moja. Akisema ameshiba ama ako sawa, jua ni mnyama.
๐ฅ๐๐น๐ฒ ๐ป๐ผ.2
Usiwahi salimia mtu kwa mkon. Hallo! Hallo! Na mdomo. In fact, hio ndio kazi ya earphones. Kufanya usiskie salamu ukiwa town.
๐ฅ๐๐น๐ฒ ๐ป๐ผ. 3
Usiwahi kubali kuombewa town. Wewe utageuka wa kuomba watu fare bila kujua. Utapoteza time na kila kitu uko nacho. 
๐ฅ๐๐น๐ฒ ๐ป๐ผ. 4
Mtu akisema amepotea town. mwambie atumie google maps ama aongee na polisi. Ukimwonyesha njia, wewe utapotea njia. Hapa sitaeleza sana.
๐ฅ๐๐น๐ฒ ๐ป๐ผ. 6
Ukiwa Globe ama OTC, usitumie simu dirisha ikiwa wazi. Utauziwa  hio simu ukifika town/CBD. 
๐ฅ๐๐น๐ฒ ๐ป๐ผ. 7
Ukiitwa brathe town ama siste, jua it's about to go down. Unataka kuuziwa kitu wameiba ama unataka kuibiwa kitu utauziwa. Run!
๐ฅ๐๐น๐ฒ . 8 
Hapa sasa ndio kila mtu anafaa kuwa attentive. Ukiskia wanasema kiatu mia... Skiza vizuri hio mia wanasema mara ngapi? Ukiskia 'kiatu mia' jua hio ni 100. Ukiskia "kiatu mia, mia pekee" hio ni 200. Ukiskia " kiatu mia,mia,mia" hio ni 300. Akili mtu wangu.
๐ฅ๐๐น๐ฒ ๐ป๐ผ. 9
Ukitaka kucross njia Nairobi, hata ikiwa one way, angalia both ways. Wasee wa nduthi huwa ni k**a wako na shule yao ya driving special. Utadhani njia iko clear kumbe Njoro wa Nduthi amekuja na speed. Usishangae ukiona watu wanaangalia both sides kwa one way road. 
๐ฅ๐๐น๐ฒ ๐ป๐ผ. 10 
The best is saved for last. Hii ndio Mama yao. It's a whole topic on Introduction to How to survive in Nairobi. TREAT EVERYONE AS A SUSPECT. Ndio maana inaitwa NAIROBBERY.  Nikiexplain nitaharibu. Hapa inahitaji tu Character Development ndio uelewe.
 
Lastly, hakuna mtu wa mtu sisi wote ni wa Mungu๐.
Be safe and sound.