Kaizari

Kaizari Writer || Certified Media Personality.

📨 [email protected]
(9)

Kwa mara nyingine shabiki wa DR Congo alisimama kwa zaidi ya dakika 90 kwenye mechi ya AFCON, Botswana dhidi ya DR Congo...
31/12/2025

Kwa mara nyingine shabiki wa DR Congo alisimama kwa zaidi ya dakika 90 kwenye mechi ya AFCON, Botswana dhidi ya DR Congo jana k**a ishara ya kutoa heshima kwa Patrice Lumumba.

31/12/2025

Dibu Martinez dhidi ya mashabiki wa Arsenal baada ya kipigo cha 4-1 👀

Mchezaji wa zamani wa Sevilla Lucas Ocampos anaugua ugonjwa wa kupooza usoni na atalazimika kubaki kitandani kwa wiki mb...
30/12/2025

Mchezaji wa zamani wa Sevilla Lucas Ocampos anaugua ugonjwa wa kupooza usoni na atalazimika kubaki kitandani kwa wiki mbili.

30/12/2025

Amad Diallo akitoa burudani kwa wachezaji wenzake wa Ivory Coast 😂

Kutana na Amad nje ya uwanja ‘VIBE’..

Je, unahitaji magoli ya ‘Bicycle Kick’ AFCON? Mpigie El Kaabi 📲Mechi - 3Mabao - 3Bicycle Kick - 2
29/12/2025

Je, unahitaji magoli ya ‘Bicycle Kick’ AFCON? Mpigie El Kaabi 📲

Mechi - 3
Mabao - 3
Bicycle Kick - 2

Kylian Mbappe kwenye mechi ya Ivory Coast vs Cameroon jana.Kylian Mbappe mazoezini na kikosi cha Real Madrid leo.
29/12/2025

Kylian Mbappe kwenye mechi ya Ivory Coast vs Cameroon jana.

Kylian Mbappe mazoezini na kikosi cha Real Madrid leo.

Kwa hali ilivyo, Bournemouth bado wanatumai Antoine Semenyo anaweza kucheza mechi ya kuwaaga dhidi ya Chelsea Jumanne.
29/12/2025

Kwa hali ilivyo, Bournemouth bado wanatumai Antoine Semenyo anaweza kucheza mechi ya kuwaaga dhidi ya Chelsea Jumanne.

Toni Kroos: "Mpinzani mgumu zaidi nimewahi kukutana naye? Nitasema Kante, uwanjani ungedhani ni wawili.."
29/12/2025

Toni Kroos: "Mpinzani mgumu zaidi nimewahi kukutana naye? Nitasema Kante, uwanjani ungedhani ni wawili.."

Cristiano Ronaldo sasa ameshinda tuzo za 'Globe Soccer' mara 9 zaidi ya Lionel Messi.
28/12/2025

Cristiano Ronaldo sasa ameshinda tuzo za 'Globe Soccer' mara 9 zaidi ya Lionel Messi.

Kambi ya Manchester City na Antoine Semenyo kuanza mazungumzo muhimu mwanzoni mwa wiki kwa nia ya kuhitimisha mpango huo...
28/12/2025

Kambi ya Manchester City na Antoine Semenyo kuanza mazungumzo muhimu mwanzoni mwa wiki kwa nia ya kuhitimisha mpango huo.

City ndio klabu pekee iliyofanya mazungumzo rasmi na Bournemouth hadi sasa.

[BBC]

king_kaizari

Shabiki wa DR Congo alisimama kwa zaidi ya dakika 90 kwenye mechi ya AFCON, Senegal dhidi ya DR Congo k**a ishara ya kut...
28/12/2025

Shabiki wa DR Congo alisimama kwa zaidi ya dakika 90 kwenye mechi ya AFCON, Senegal dhidi ya DR Congo k**a ishara ya kutoa heshima kwa Patrice Lumumba.

Cristiano Ronaldo kuhusu kwa nini bado anacheza soka:"Nataka kushinda mataji zaidi na kufikia namba ambayo nyote mnaijua...
28/12/2025

Cristiano Ronaldo kuhusu kwa nini bado anacheza soka:

"Nataka kushinda mataji zaidi na kufikia namba ambayo nyote mnaijua."

"Nitafikia hiyo namba hakika... K**a hakuna majeraha, inshallah."

Address

Taveta
Nairobi West

Telephone

+254717912448

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kaizari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kaizari:

Share