Kaizari

Kaizari Writer || Certified Media Personality.

📨 [email protected]
(10)

Kylian Mbappe atakapokabidhiwa namba 10 Real Madrid, namba 9 huenda ikapewa mmoja ya hawa.Namba 9 anaistahili nani pale ...
29/07/2025

Kylian Mbappe atakapokabidhiwa namba 10 Real Madrid, namba 9 huenda ikapewa mmoja ya hawa.

Namba 9 anaistahili nani pale Madrid kati ya Gonzalo na Endrick?

Iñaki Williams:"Kilichomtokea Nico katika wiki zilizopita hakijawa rahisi. Walivunja moja ya madirisha ya gari lake."
29/07/2025

Iñaki Williams:

"Kilichomtokea Nico katika wiki zilizopita hakijawa rahisi. Walivunja moja ya madirisha ya gari lake."

Bila €100M haondoki pale Chelsea.
28/07/2025

Bila €100M haondoki pale Chelsea.

Kwenye hivi vita vya mitandaoni baina ya Bien na Otile Brown hapo kuna mmoja anataka kutumia upepo wa mwenzake kuingia t...
28/07/2025

Kwenye hivi vita vya mitandaoni baina ya Bien na Otile Brown hapo kuna mmoja anataka kutumia upepo wa mwenzake kuingia trending baada ya kuona k**a anasaulika 😂

Vinicius Jr 🎤 x Travis Scott 🎤. Hapa tunasubiri kolabo tu 😂
28/07/2025

Vinicius Jr 🎤 x Travis Scott 🎤. Hapa tunasubiri kolabo tu 😂

William Saliba kuhusu Gyökeres:"Tunajua jinsi alivyo mzuri, inatisha kucheza dhidi yake. Bila shaka, nina furaha sana ku...
28/07/2025

William Saliba kuhusu Gyökeres:

"Tunajua jinsi alivyo mzuri, inatisha kucheza dhidi yake. Bila shaka, nina furaha sana kuwa naye katika klabu yangu na nina uhakika kwamba atatusaidia kushinda michezo na kushinda vikombe."

Mjiandae huyu ndiye anakuja na makombe ya Arsenal.

Rema anatoa Dollar 10,000 ambayo ni sawa na Ksh 1.29M na Tsh 25.5M kwa dancer atayekuja na dance challenge kali kwenye w...
27/07/2025

Rema anatoa Dollar 10,000 ambayo ni sawa na Ksh 1.29M na Tsh 25.5M kwa dancer atayekuja na dance challenge kali kwenye wimbo wake unaokuja .

Dancers wote wakali, tengeneza dance challenge kali ya wimbo huo, mtag Rema Instagram ujishindie 10,000 USD.

Umemtambua huyu ni mchezaji yupi?
27/07/2025

Umemtambua huyu ni mchezaji yupi?

Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake Nigeria baada ya kushinda Kombe la WAFCON jana.Effect ya Messi Nigeria 🛌🏆
27/07/2025

Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake Nigeria baada ya kushinda Kombe la WAFCON jana.

Effect ya Messi Nigeria 🛌🏆

Cristiano Ronaldo ameuomba uongozi wa Al-Nassr kumsajili beki wa Chelsea, Marc Cucurella.Cristiano amechangia kusajiliwa...
27/07/2025

Cristiano Ronaldo ameuomba uongozi wa Al-Nassr kumsajili beki wa Chelsea, Marc Cucurella.

Cristiano amechangia kusajiliwa kwa João Felix, anamtaka Cucurella sasa.

[Imeripoti MARCA]

Cristiano Ronaldo alitumia ndege yake kumchukua Joao Felix kutoka Ureno hadi Salzburg, Austria ili ajiunge na kambi ya A...
27/07/2025

Cristiano Ronaldo alitumia ndege yake kumchukua Joao Felix kutoka Ureno hadi Salzburg, Austria ili ajiunge na kambi ya Al-Nassr mazoezini.

27/07/2025

Mbosso alivyositisha interview ili kuipisha Adhana. Heshima ya kubwa ya Mbosso kwa dini.

Address

Maragwa

Telephone

+254717912448

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kaizari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kaizari:

Share