29/01/2026
POLEπ©π₯Ήπ
Erick Onyango ni mwanafunzi wa Kidato cha Tatu katika Shule ya Sekondari ya St. Marks Obambo. Alipata ajali mbaya mwezi Machi mwaka jana baada ya kitu kilicholipuka kumdhuru alipokuwa akichunga mifugo karibu na nyumbani kwao Lusika, Kanyawegi, Kaunti ya Kisumu, na kupoteza mikono yote miwili. Anatarajiwa kufanya mtihani wa KCSE mwaka ujao na anaomba msaada wa kupata mikono bandia inayogharimu kati ya shilingi milioni 2.8 hadi 3 ili aweze kujitegemea, kurejesha heshima yake, na kushiriki kikamilifu katika masomo yake shuleni.... K**a uko na utu wish him Quick Recovery ππ₯Ήπ«