GOOD ONE TV

GOOD ONE TV I am journalist

12/12/2025

Salamu za kipekee kwa mashabiki wangu wapya chipukizi! Vallen Cosmas, Abieremana Taratibu

Nikikuomba unitumie nauli nije mkoani kwenu utakubali? 🫵😉☺️🇹🇿🇰🇪🇩🇪🇧🇮
10/12/2025

Nikikuomba unitumie nauli nije mkoani kwenu utakubali? 🫵😉☺️🇹🇿🇰🇪🇩🇪🇧🇮

*"Utangazaji ni daraja la kuwasilisha ujumbe, kuleta mabadiliko na kuhamasisha jamii. Kwa sauti yako, unaweza kufikia mi...
10/12/2025

*"Utangazaji ni daraja la kuwasilisha ujumbe, kuleta mabadiliko na kuhamasisha jamii. Kwa sauti yako, unaweza kufikia mioyo na akili za watu, kuwapa habari muhimu, burudani, na maarifa. Tangaza kwa uwazi, kwa upole, na kwa moyo wa kuwahudumia wasikilizaji wako. Kila neno unalosema lina nguvu ya kuleta matumaini, kusimulia hadithi, na kuimarisha mshikamano wa jamii. Usikose nafasi ya kuwa sauti ya mabadiliko."*

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marek...
10/12/2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba, 2025.

Pamoja na masuala mengine, walijadiliana kuhusu ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa, kijamii pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo baina ya Tanzania na Marekani.

Jwtz
10/12/2025

Jwtz

👉JWTZ ni Jeshi la Ulinzi na Ukombozi.
10/12/2025

👉JWTZ ni Jeshi la Ulinzi na Ukombozi.

10/12/2025

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Abdul Fadhil, Dravor Rashid, Albert Kissanga, Ahmed Mase, Isack M. Kishiwa, Awesa Mtiningu, Geofrey George, James Wanka, Ayoung Tekno, Edapal David, Nyalali Masanja, Nichodemus Ntetema, Waka Munis Munis, Sylvester Kyalo, Wizz Hunter, Osama Mandefu, Abdulrahman Redondo, Smart Better, Manga Juma, Lioneziwcbtz Eriaskajolo, Josh Mp, RJ De Classic, Jackson Richard, Umaru Ibrahim, Mtu Mzima, Abdullah Ramadhani, John Mgimba, Ivani Pita, Abduli Ismaili, Mwabesh Xela, Privatus Alistides, Mahuma Gitigani, Abii Mk, عبدالله مهنزى, Matayo Noah, Said Nuta, Immanuel Chelesi, Haroun Kalupale, Zunde MC Kimoso, Mercy Akinyi, Billy Booe, Said Mpanda, Isack Makala, Meja Lekoko, James Francis, Castory Paul, Aboubakar Iteriteka Habby Yahabby, Nickson Jackson, Mwangolo Samson, Sadiki Kobala

Wana nchi nawaomba msiwe mnaingia kwenye mambo ya siasa, achia watu wazima, uchaguzi umeisha akuna mwana siasa ambayo ut...
09/12/2025

Wana nchi nawaomba msiwe mnaingia kwenye mambo ya siasa, achia watu wazima, uchaguzi umeisha akuna mwana siasa ambayo utaona tena nyumbani kwako au anakupigia. Uliza watu wa na watakwambia

wakati wowote siasa ni siasa

Nakuomba utuongoze myaka 10 yote
GOOD ONE TV

*"Kwa unyenyekevu mkubwa, tunamwomba Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aende...
09/12/2025

*"Kwa unyenyekevu mkubwa, tunamwomba Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aendelee kuonyesha moyo wa huruma na utu kwa kuwapokea wageni pamoja na wakimbizi wanaotafuta hifadhi na usalama. Tanzania imekuwa mfano wa upendo na mshikamano barani Afrika, na tunaamini uongozi wake wa hekima utaendelea kuwalinda walio katika mahitaji. Mungu aendelee kuihifadhi na kuibariki Tanzania."*

GOOD ONE TV

Heri ya Sikukuu ya UhuruGOOD ONE TV
09/12/2025

Heri ya Sikukuu ya Uhuru
GOOD ONE TV

Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania vipo makiniGOOD ONE TV
09/12/2025

Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania vipo makini

GOOD ONE TV

Komandoo wa JWTZ akionesha namna jeshi lilivyo imara kulinda nchiEndelea kulinda nchi yetu GOOD ONE TV
05/12/2025

Komandoo wa JWTZ akionesha namna jeshi lilivyo imara kulinda nchi
Endelea kulinda nchi yetu
GOOD ONE TV

Address

Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GOOD ONE TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share