30/12/2025
“Boy wangu alitaka raw na venye nilikuwa nampenda, nilijua nikisema no, nitamdisappoint na ataniwacha. so nikaamua tu kufuata venye anadai.sema kusweat after 2 weeks sioni periods zangu, karibu pregnancy scare zinifanye mwendawazimu. Venye periods zili-come aki nilisema sitawahi allow boy kumake decisions ka hizi solo, ata mi nafaa nijweke first, imagine ka ningeget ball, masomo hapo itakuwa imestop, future yangu iko kwa pause kwa sababu ya kuogopa kudisappoint mtu. That fear changed me. Sa hii mimi ni firm believer wa bila condom hakuna game itachezwa, simple.” Boy wako amekataaa mambo na protection time ya mechi, uta-do?