
21/01/2025
🏆🏆🏆
Lakini kuoa bibi mrembo sana na wewe ni hustler ni shida tupu😢.
Kuna jamaa🤓alienda kwa barbershop halafu akauliza kinyozi,"before ifike uninyoe itatake how long?"Kinyozi akahesabu customers na akamjibu,"itachukua 3 hours,"
Jamaa akacheka😂😂 na akaenda pharmacy akanunua condom then akaenda🚶🚶.
Baada ya siku kadhaa huyo jamaa akarudi barbershop😉tena akakuta customers ni wengi akauliza kinyozi,"leo utachukua how many hours ndio umalize kunyoa hawa?"
Kinyozi akahesabu customers then akamwambia,"itanichukua 4hrs hivi😌."
Jamaaa akacheka😁then akaenda pharmacy akanunua condom na akaenda🚶.
Baada ya wiki👌moja huyo jamaa akarudi🚶 kwa barbershop k**a kawaida yake akapata kuna customers🙈kadhaa akuliza kinyozi tena,"leo utanyoa hawa watu kwa masaa ngapi kabla ifike zamu yangu🤔?"akamwangalia👀na kusema,"ooh ni wewe tena😒🙄itanichukua 2hrs nimalize kuwanyoa na k**a unataka nikunyoe keti kwa kiti upange laini k**a watu wengine"
Jamaa alimwangalia kisha akacheka😂na akaelekea pharmacy akanunua condom na kuenda zake😊🚶.Kinyozi alishangazwa na Tabia ya huyu jamaa🤔 ya kuja kuuliza maswali na kucheka na kuondoka🚶.Sasa aliambia rafiki yake amfwate🚶🏻 huyo jamaa🚶aangalie na ajue place anaendaga after kutoka kwa kinyozi.Baada ya 30 minutes kuisha rafiki ya kinyozi alirudi akicheka🤣 akishikilia matumbo juu ya kicheko😁?
Kinyozi alimwangalia na kuuliza "umemwona👀 ameenda wapi🤔?"rafiki yake akamjibu akiwa bado akicheka,"NIMEMFWATA NIKAONA AMEINGIA KWAKO NA BIBI YAKO AKAMHUG🤣🤣🤣🤣."
Kumbe jamaa ananyanduanga bibi ya kinyozi😢😢😢. Wanaume tutafteni pesa wangwana tunagusiwa murima🤣🤣🤣
For more jokes and stories follow me. Just click the follow button above the post and enjoy
MBE. ✅ ✅ ✅ ✅