Sammyro

Sammyro Content Creator, Events Host Dancer and Dance Choreographer.

25/10/2025

Uzuri mimi ni mtu wa marathon. Tukutane kesho mimi niko ready na viatu za

25/10/2025

Jameni heartbreak ya mpira

24/10/2025

One nice filling coming your way for the 3rd edition of Jamhuri Reggae festival with three of the best live from Uhuru Gardens courtesy of . Man like and . Get your tickets from and gear up for a good time .

24/10/2025

NCHI MBELE SIKU ZOTE๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ! Tumebakisha moja !!

24/10/2025

Mnakemea sababu ni mkabila na hata hamna kura na **akia_ . Changamkieni kura bana, safari bado.

23/10/2025

Congratulations on your new car uncle Papa . Na iweiwei shamgwe naiweiwei shangwe๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽผ๐ŸŽต

23/10/2025

Tupatane Friday the 24th of October pale Kasa. Regular ni Ksh. 100 na VIP Ksh. 500. Siku zote ni mdenge wako ndio ata kusafishia

And I hope you like Jammin too.  ๐Ÿ‘Ÿ
22/10/2025

And I hope you like Jammin too.

๐Ÿ‘Ÿ

21/10/2025

Kwani OCS wanakuanga wapi?

19/10/2025

Leo ndo imeishia kwa net. Game safi mzae. Wamekuskia na wamekufeel. Hatujui sub yako ni nani ju gwanda zako pia ni biggy. Wacha tuone k**a wataingiza watu wawili wacheze hapo kwako ama k**a team itacheza tu mtu less ju sub yako ataingia na pressure ya kuperform. Stadi zimejaa na bado watu wako kwa rodi wanataka kuona ukicheza, uzuri tuko na videos na wengine tutawapigia story. Wacha tuone vile watu wa Russia watasema ju hawatafurahia kuskia hiyo ilikuwa game ya mwisho!!!!

Address

Nairobi

Telephone

+254703455605

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sammyro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sammyro:

Share