
10/07/2025
Kete za Sumu ni tamthilia yenye msisimko wa hali ya juu iliyoandikwa na James Mwilaria na Ali A. Ali.
Changamoto za kiuchumi na kijamii zinawafanya vijana wengi kupotea njia lakini wakati giza linazidi kutanda, mwanga pia hunaonekana kutoka kwa umbali.
Beta, Rehema, Kimota na Tumaini wanagundua kwamba hata kete zenye sumu zinaweza kuacha funzo na maisha mapya yanaweza kuchipua kutoka katika jangwa la maumivu.
Tamthilia hii inaangazia:
Uhalifu miongoni mwa vijana.
Matumaini katika hali ngumu.
Nafasi ya jamii katika kuleta mabadiliko.
Safari ya ukombozi wa kiakili na kimaisha.
Inapatikana sasa katika kila duka la vitabu karibu nawe.
Pata nakala yako leo kwa kupiga simu: +254 792 532 441.