Turkana Digital News

Turkana Digital News We Inform, Educate and Entertain
(1)

13/07/2026

UPDATES| Interior CS Kipchumba Murkomen on security operation in Turkana and West Pokot Counties

13/07/2026

GOVERNOR LOMORUKAI TO MURKOMEN.
Huyu CS Kipchumba Murkomen anakaa kuwa mturkana na nimturkana, watu wakati mwingine watu wanasema yeye ni Mturkana, kwa Bwana CS k**a kuna mazuri ya maendeleo wewe let hapa nyumbani

13/07/2026

UPDATES | Interior CS Kipchumba Murkomen has said that the security agencies are doing everything to curb goonism and political violence in the country.
The CS said that 20 suspects have already been arrested and set to be arraigned to court in connection with yesterday’s incidents in Kisumu and Nyahururu.

13/07/2026

MP TURKANA EASTAMECHRMKA
"Watu hawachukui kitambulisho, hawawezi kukata kura kwa sababu ya uwoga wa SOG, hawa SOG waje watupee majina na sisi tudeal na wao"~Nicholas Ngikor Nkolong MP Turkana East

13/07/2026

UPDATES : "Tunataka disarmament iendelee lakini ifanywe kwa jamii yote, sio mapendeleo tu, pia tupewe NPR"~Cecilia Asinyen Ishuu MP Turkana County

13/07/2026

DISARMAMENTISIWE YA MAPENDELEO.
"Mheshimiwa Murkomen, tafadhali waambie maafisa wa SOG waache kuwapiga raia ovyo ovyo.
Wafanye disarmament jinsi walivyoagizwa na president, lakini wasiwadhulumu wananchi"~Jeremiah Lomorukai Governor Turkana

13/07/2026

DISARMAMENT ITAENDELEA
"Shughuli ya kuwapokonya silaha haramu kutoka kwa raia litaendelea k**a kawaida. Hata hivyo, halipaswi kufanyika katika eneo moja tu. Linapofanyika hapa Turkana, na vile vile lifanyike pia Kaunti ya Pokot Magharibi.
Disarmament haipaswi kuwa na upendeleo katika suala la kutwaa silaha"~Kipchumba Murkomen CS Interior

UPDATES | Interior and National Administration CS Kipchumba Murkomen arrives in Lokori, Turkana County, for the burial c...
13/07/2026

UPDATES | Interior and National Administration CS Kipchumba Murkomen arrives in Lokori, Turkana County, for the burial ceremony of the late David Kipchirchir Kibiwott who was a prisons officer.

12/07/2026

GENERAL KAGO MWENYEWE:
Nimetumwa hapa Machakos na Governor wa Turkana Jeremiah Lomorukai ili nije niwaambie sisi kule tuko ndani ya UDA, na hatubanduki, Sisi tuko tayari ndani ya basi ya UDA kamwe hatutoki.

12/07/2026

Drama in Turkana Traditional Wedding.

What could be the problem?

Address

Nairobi
00100

Telephone

+254718659391

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Turkana Digital News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share