Mswahi Nyumbakumi

Mswahi Nyumbakumi Kenya Eye

FOLLOW A FOLLOW.LET US GREET.
03/09/2025

FOLLOW A FOLLOW.
LET US GREET.

Get deeply analysed odds today.To loss your money.. 50 oddsWooooon.
03/09/2025

Get deeply analysed odds today.
To loss your money..
50 odds
Wooooon.

Last month nilifika Mombasa kutoka bara kwa mara ya kwanza. Nilishukia gari pale Mwembe nikachukua matatu ya kwenda ferr...
04/12/2024

Last month nilifika Mombasa kutoka bara kwa mara ya kwanza. Nilishukia gari pale Mwembe nikachukua matatu ya kwenda ferry. Nilipofika ferry pale kivukoni nikamwendea mlinzi kumwuliza iwapo watu hulipa nauli kutumia ferry. 😂 😂. Usinicheke juu nilikuwa peke yangu na Jamaa alinisaidia sana. 🤗 🤗. Akanielekeza kwa banda la kusubiria . Pale bandani watu walikuwa wengi sana ... "labda ni masaa ya rush" nikajiambia. Nilivuka nikajipata niko ngambo ya likoni.

Hapa Mambo ni Mengi.
Sina nyumba, sina mchumba, na ni mgeni. Ata sijui nianze na lipi.
Tunaanza na kutafuta nyumba.........affordable housing housing 😂 😂 hela kidogo.

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mswahi Nyumbakumi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mswahi Nyumbakumi:

Featured

Share