Captain Emmanuel Mwashumbe

Captain Emmanuel Mwashumbe Official Page Of Captain Emmanuel Mwashumbe. Presenter . Content Developer. Husband. Father.
(5)

Ndio masaa ya kuwaletea   hapa Bonge la Radio! Karibuni sana my good people, nawapenda sana. Tuanze siku pamoja🫡
11/06/2026

Ndio masaa ya kuwaletea hapa Bonge la Radio! Karibuni sana my good people, nawapenda sana. Tuanze siku pamoja🫡

10/06/2026

Kitaliano na Kispanish tunakijua pia na ndugu yangu MC JAPHE ila Mkamburi Chigogo tunayemwambia hashiki kitu🤣

10/06/2026

Gen Z wa 18yrs anaweza kumheshimu mamake wa mambo wa 23ys?🤔

Una miaka 18, stepmum ana miaka 23... unaweza kumheshimu na kumuita "mum"
10/06/2026

Una miaka 18, stepmum ana miaka 23... unaweza kumheshimu na kumuita "mum"

Ndio kuingia   🤪 Early birds mpoo?
10/06/2026

Ndio kuingia 🤪 Early birds mpoo?

09/06/2026

Wauzaji nguo wamenituma nwaambie mvae vifuniko vya asali mnapoenda kupimapima nguo mpya🤣

09/06/2026

Mawakili hii Kenya mna mambo!🤣

Thank you mafans wangu wa   See you again tomorrow same time 👊
09/06/2026

Thank you mafans wangu wa
See you again tomorrow same time 👊

Nmeona mahali eti wanasema kuna mtu hana raha tangu fainali ya  🤣 hamjui kile kjnawangoja next season!
09/06/2026

Nmeona mahali eti wanasema kuna mtu hana raha tangu fainali ya 🤣 hamjui kile kjnawangoja next season!

09/06/2026

Toeni vikwazo bana, this 2026 World Cup might just be the most boring edition ever!

Address

Cape Media Limited
Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Captain Emmanuel Mwashumbe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share