
20/02/2025
ii watu ya Imani kidogo kidogo wataambia mm nini???
Mtu umezaliwa hapo ushago kwenu, ukalelewa hapo ushago kwenu, ukaoa ama ukaolewa hapo ushago, unaishi hapo ushago kwenu, uta advice mm kitu gani jameni😂😂😂
Tembea tembea uone mengi na kutembea sio kwenda mazishi siku moja alafu unasema umetembea, enda ishi town nyingine miaka kadha na nyingine na nyingine ukutane na watu tofauti na ujue mambo tofauti.
Ghetto is a collage where we learn our knowledge, we learn up survival, big up all ghetto youths 💪💪💪