03/11/2025
🔥 SECRETS 🔥
SEASON 36. EPISODE 10
Nikachange bearing nikahepa njia nikaingia kwa mashamba sasa. Nililala kwa shamba flani pale nikaamka 5 nikatoka. Ndevu ilikuabimejaa black jack nakaa fala😂. Nikajiunda unda pale nikitembea. Nikapunguza ndevu kaisi nikue na a different look ju hii iko kila mahali nasakwa. Nikafika kwa main road. Sasa hata sijui huku ni wapi. Nilitembea hadi nikachoka. Nikaona lorry kwa umbali. Nikawave ikasmama
Me : Yooh man si unirushe tao maze
Driver : Hii njia naijua sana..hua mnasema ivi then mnaingia mnatuibia
Me : Mzee siwezi fanya kitu k**a hio
Driver : Unaita nani mzee?..mimi ni babako?
Me : Pole..maze niokolee tu I'm wounded
Driver : Hapana.. last year kwa hii njia nilifanywa mambo mbaya sana just wait for someone else..
Jamaa akaishia. Nilitembea manze sifiki bana💔..eiii. mbona sishikwi na mbona sikufi? Huyo mathe aliniokolea sana walahi. Nikaona pick up. Sasa kisubmarine hata sikusmamisha ju nilijua hawezi kubali. Kidogo naona amesmama
"Utatembea utafika sangapi kalia nyuma"
Me : Thanks manze umeniokolea sana
Nikaruka nyuma ya pickup nikakaa na makondoo hapo nyuma tukafika tao. Na ilikua mbali walahi hapa singemanage na kaguu😂💔. Afternoon ikanipata hii tao yao adi sikujua ni wapi.
Me : Hapa ni wapi
"Kwani umetoka wapi..hapa kunaitwa paper mint
Me : Ooh
So nikapiga hesabu kutoka hapa mint hadi kwa Stesh ni kitu k**a 5 hours. Nikategea zile lorry heavy commercial nikadandia moja nyuma. Nilifika usiku maze. Nikafika kwa Stesh.
Soldier : And who are you?
Me : Ni ule jamaa alikua na Stesh Stesh
Soldier : Ooh ni wewe.. Stesh alihama jana
Me : Ooh okay..sasa si wacha nijiwekelee ju ni late niamke kesho
Soldier : Hakuna kitu imebaki kwa hio nyumba
Me : Najiwekelea tu
Soldier : Mkubwa is everything okay?
Me : Yeah everything is okay
Soldier : Okay
Akafungua nikaingia. Nikafika kwa hao manze iko empty kabisa💔. Nikaokota boxes pale kwa floor nikazipanga nikalala. Mlango ikabishwa.
TO BE CONTINUED 🔥