Al Huda TV Kenya

Al Huda TV Kenya Welcome to Al Huda TV official facebook account. We are based in Masjid Al-Huda, South B, Nrb, Kenya

03/08/2025

MIANGAZA YA FATWA || HAKI ZA WANAWAKE KATIKA UISLAMU | PART2 || NUR SAID | SHK. MBARAK AWES

Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh, katika Miangaza ya Fatwa leo tutakuwa na maendeleo ya Haki za Mwanamke katika...
03/08/2025

Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh, katika Miangaza ya Fatwa leo tutakuwa na maendeleo ya Haki za Mwanamke katika Uislamu ambayo itakuwa ni sehemu ya pili. Ungana na Nur Said akiwa na Sheikh Mbarak A. Awes kupitia runinga ya Al-Huda TV na mitandao yetu ya kijamii ili ufaidike.

Hauli ya Habib Abubakar Al Adani 2025 | Tukutane Masjid Al-Huda, South B kwa kumbukumbu, mawaidha na baraka za mkusanyik...
03/08/2025

Hauli ya Habib Abubakar Al Adani 2025 | Tukutane Masjid Al-Huda, South B kwa kumbukumbu, mawaidha na baraka za mkusanyiko huu mtukufu. Usikose kushiriki katika siku hii adhimu ya kukumbuka wema na kutafuta radhi za Mwenyezi Mungu.

03/08/2025

REMEMBER TO LIKE, SUBSCRIBE AND SHARE....PLEASE FOLLOW US ON ALL OUR SOCIALS

LEO AL-HUDA TV kutakuwa na Hawli ya Al-Habib Abubakar Al-Adany Bin Ali Al-Mash'hur kuanzia 10am
03/08/2025

LEO AL-HUDA TV kutakuwa na Hawli ya Al-Habib Abubakar Al-Adany Bin Ali Al-Mash'hur kuanzia 10am

31/07/2025

Kipindi kipya! Unataka kujifunza Kiarabu kwa njia rahisi na ya kuvutia? Basi usikose kipindi chetu kipya "Tamriin" kinachoruka moja kwa moja kesho saa tatu asubuhi kwenye Al Huda TV!
Wenyeji wako wapendwa Idd Musyemi na Abdulrahman Mohamed watakuongoza hatua kwa hatua katika misingi ya lugha ya Qur’an, kwa mtindo mwepesi, wa kufurahisha na wa kueleweka kirahisi. Hata ukijua “Alif” tu — huu ni wakati wako! Usikose!

Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh, Ijumaa hii tutakuwa na Sheikh Mbarak A. Awes mada yake ikiwa ni Silaha ya Nja...
31/07/2025

Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh, Ijumaa hii tutakuwa na Sheikh Mbarak A. Awes mada yake ikiwa ni Silaha ya Njaa. Jumuika nasi Masjid Al-Huda ukiwa na nafasi ama tazama khutba hii kupitia runinga ya Al-Huda TV na pia kwenye mitandao yetu ya kijamii.

Tuna huzuni kutangaza kifo cha Prof. Mohamed Karama ambaye ataswaliwa leo katika Msikiti wa Adams, Ngong Rd baadal Asr. ...
30/07/2025

Tuna huzuni kutangaza kifo cha Prof. Mohamed Karama ambaye ataswaliwa leo katika Msikiti wa Adams, Ngong Rd baadal Asr. Tunaiombea familia na jamaa zake subira wakati huu wa huzni. Innalillahi wa innaileihi rajiun.

30/07/2025

Uchambuzi Wa Magazeti

29/07/2025

DARSA LA HADITH ( NGUZO ZA IMAN SEHEMU YA 4 ) MTUME SWALEH (A.S) SEHEMU YA 2

28/07/2025

Karibu utazame makala maalum ya ziara ya Sheikh Habib Omar Bin Hamid Al Jeilani katika Msikiti na Kituo cha Televisheni cha Al Huda. Katika ziara hii ya kihistoria, Sheikh alishiriki sala, alitoa mawaidha yenye hekima, na kuonyesha uungaji mkono kwa juhudi za kielimu na kijamii za Al Huda.

Huu ni wakati wa kuenzi viongozi wa dini wanaotujenga kiroho na kijamii. Tazama, fahamu, na shiriki ili ujumbe huu wa Imani uenee.

📍 Msikiti wa Al Huda – South B, Nairobi

Address

Masjid Al-Huda, Aoko Road, South B
Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Al Huda TV Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Al Huda TV Kenya:

Share