13/06/2026
Guys kuna kitu nataka mnieleweshe,kidonda yenye iko fresh inafaa kuoshwa kabla ya kupewa dawa ya kupunguza uchungu ama baadaye...juu sasa nimekuwa dressed mara k**a mbili na naoshwa tu hivyo bila pain killer na manze k**a leo nimepitia mauchungu over 2hrs ndio nikapewa dawa nikatulia.