
27/08/2023
https://youtu.be/452Oj-mM2wA?si=D71pEy46XEyzn8TJ
Nyanja za Kisasa | Ujio wa Nyanja Mbadala {Turf} za Kandanda Nchini Kenya
Kuenziwa kwa kandanda nchini ni bayana. Katika miaka kadhaa iliyopita, nyanja za turf zimesheheni jijini Nairobi na nchini kwa jumla. Nyanja hizi ni kivutio ...