
02/07/2025
Umeamka. Unapumua. Uko healthy. Uko na pahali pa kulala. Uko na kitu ya kula alafu
MP wako ni Babu Owino...Hakuna haja ya kugive up maze, siku moja itajipa. Wewe omba tu, amka kesho, Kenya itachange na wewe pia utafurahia
The best MP in Kenya 2025/2026!