Guidance313

Guidance313 GUIDANCE and REMINDER speech from various sheikhs and elders around east africa

18/10/2025

Jihadhari kwa kusambaza ujumbe ambazo malengo yake ni kuikosea uislamu heshima...

16/10/2025

K**a elimu ingekua ni kuzungumza kiarabu,basi waarabu wote wangekua wanazuoni,na k**a elimu ni kuzungumza kiingereza,basi wazungu wote wangekua wanazuoni...

15/10/2025

Husia wa mwanazuoni duktur Abdul Razaak kwa Wadau au wote wanao uisha mazazi ya Bwana Mtume(saww)

14/10/2025

Katika Hadithi,Mambo manne alohusia Bwana Mtume (saww) pale ambapo mmoja anapotaka kuoa au kuolewa,mali,urembo,nasaba na dini,...
mambo hayo matatu yalotangulia si yenye kudumu bali yana muda maalum na itafikia mwisho wake,
ila jambo la muhimu zaidi unapooa ni dini,Dini ndo msingi wa kipekee unaodumu katika mahusiano

12/10/2025

Hakuna kitu tamu katika mahusiano,pale mnapoambiana ukweli,walau kuwa ni yenye kuumiza,
Mahusiano yanapaswa kuwa na ukweli na ikhlas k**a misingi yake,...

11/10/2025

Je! Wajua adhabu itakayo wapata wanao kosa kuwa na msimamo katika itikadi yao,...?

10/10/2025

Je! wajua sababu wa mapemzi yako kwake?
misingi yake ni ipi?

09/10/2025

Kila alie kwenye ndoa na karuzukiwa mtoto,ayasikilize haya,katika wasia wa Ali bin Abi Twalib(as)....

08/10/2025

Kauli ya imam Ahmad bin hambal,...

.Abdulrazaak

06/10/2025

Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu.
Sheria ya Mwenyezi Mungu (swt) kutuamrisha kumswalia bwana Mtume (saww).





05/10/2025

Nini hekima ya sheria kutowaruhusu wazazi kula nyama ya aqeeqa waloichinja kwa sababu ya mwanao?...

04/10/2025

Daima tutakutaja ewe mtume Muhammad saww,kutajwa kwako ni ahadi kutoka kwake maanani,watachoka wenye kupinga utajo wako

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Guidance313 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share