Forbes Entertainment

Forbes Entertainment We do quality audios and videos plus marketing

26/07/2021

Hapa kazi Tu

24/02/2021
08/01/2021

Hili swala la uwezo wa mwanaume kumconvice msichana kuingia chumbani kwake inabidi liongezwe kwenye CV upande skills

21/11/2020

Namba Za Watu wasio nikubali Imekuwa Ndogo Naitaji Wengine...
Wano bana Nataka Wengine...
Hata Wambea Nataka Wengine...
Maana SOUND Zimeshabadilika Mpaka Watoto Wanadai Machine...
So Ningependa Wachawi Wengine....
Hata Wanafki Nipate Wengine....
Masnich Wengine Wengine....
Labda Nitapata challenge Engine....

10/11/2020

Am looking for job but within Nairobi....You can call, whatsapp or txt me 0729072298���.....God bless you all

17/10/2020

Binadamu Watakupenda Ukijifanya Mjinga,Kwa Sababu Binadamu Wengi Wanapenda Kuwa Bora Mbele Ya Wenzao

08/10/2020

Hakuna Kitu Kinachoumiza K**a Ukutane Na Mwanamke Uliyeachana Nae Amezaa Mtoto Na Jamaa Mwingine Halafu Amwambie Mtoto "Junior Msalimie Uncle David" 😭

03/10/2020

Ukiachana Na Usaliti Sumu Kali Zaidi Ya Kuua Mahusiano Ni Dharau💯

30/09/2020

Ushawai Kupendeza Hadi Hutaki Kurudi Nyumbani Mapema Unajishawishi Bado Watu Wengi Hawajakuona

25/09/2020

Mungu Baba Nisamehe Nilipokuwa Shule Ya Msingi Nilikuwa Namuombea Mwalimu Wa HESABU Afe😂

Address

Umoja Innercore
Nairobi

Telephone

+254729072298

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Forbes Entertainment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Forbes Entertainment:

Share

Category