Akili TV Kenya

Akili TV Kenya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Akili TV Kenya, TV Channel, Nairobi.

Akili TV
Number ONE with kids and families in Kenya
Available on: Free to Air | DSTV - 311 | Zuku - 602 | Gotv - 91 Startimes - PANG 105
TREASURE HUNT : https://mookh.com/event/akili-kids-treasure-hunt-village-of-dreams-2 Akili TV is Kenya’s first and only educational television station for children and families, available via Free-to-Air on digital TVs at PANG 105, as well as DStv Channel 311, GO

tv Channel 63, StarTimes on PANG 105, Zuku Channel 602, Safaricom’s Baze by dialing *544*44 #, and streams for free at https://akilikids.co.ke/watch

Mpaka saizi kuna wale wanaspend Saturday's kufanya general cleaning. 🧽K**a hamna tickets za Treasure Hunt. Kimbieni tu M...
09/08/2025

Mpaka saizi kuna wale wanaspend Saturday's kufanya general cleaning. 🧽

K**a hamna tickets za Treasure Hunt. Kimbieni tu Mookh.com mapema.

09/08/2025

Wazazi,

Vile shule imefungwa, budget ya Chakula inawapeleka aje?

08/08/2025

Ni Biashara gani ukianza leo, in 6 months utakuwa na kagari?

08/08/2025

Millenials Vs Gen-Z's nani ndo wanakuwanga na plans kali za weekend?

Saizi tumeone ni vizuri tuwakumbushe kila siku. Treasure Hunt Inakaribia na bado wengine wetu hawana tickets 🎟️Anyway ha...
08/08/2025

Saizi tumeone ni vizuri tuwakumbushe kila siku. Treasure Hunt Inakaribia na bado wengine wetu hawana tickets 🎟️

Anyway hatutawajudge, tumewaekea link hapo chini. 👇🏽

07/08/2025

Mums, mlibreastfeed your little ones for how many months ama years?

Waseeeh! Kutoka block ni lazima 😂, ebu tupatiane ideas kali kali zaa biz tunaweza kufanya.
07/08/2025

Waseeeh!

Kutoka block ni lazima 😂, ebu tupatiane ideas kali kali zaa biz tunaweza kufanya.

Alafu kuna wale bado wanasema ati Treasure Hunt 🎪  iko na activities kidogo. 👀Si mkuje tu kwa ground mjionee. Mtafrahia ...
07/08/2025

Alafu kuna wale bado wanasema ati Treasure Hunt 🎪 iko na activities kidogo. 👀

Si mkuje tu kwa ground mjionee. Mtafrahia 🤩

K**a bado hauna tikiti mkononi tumeweka linki hapo chini 👇🏽

Only 9 Days to go ‼️Ndio hizo masiku sasa zinasonga.  Kuna watu bado hawana tickets vile tunaongea saizi. 👀 Anyway hatut...
07/08/2025

Only 9 Days to go ‼️

Ndio hizo masiku sasa zinasonga. Kuna watu bado hawana tickets vile tunaongea saizi. 👀

Anyway hatutawajudge, tumewaekea link hapo chini. 👇🏽

Simu kumi pekee yake! 🥰K**a wewe bado ni wale hamjashika ticket!  👀 Fika tu Mookh.com sahii sahii. Masaa ⏱️ ni ya rush h...
06/08/2025

Simu kumi pekee yake! 🥰

K**a wewe bado ni wale hamjashika ticket! 👀 Fika tu Mookh.com sahii sahii. Masaa ⏱️ ni ya rush hour.

06/08/2025

True or false

Breastfeeding burns more calories than a gym session?

05/08/2025

Mums let's talk Breastfeeding.

What’s the funniest place ushawahi kubreastfeed?

Address

Nairobi

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+254791574091

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Akili TV Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Akili TV Kenya:

Share

Category

We are LIVE!

After 8 years of hard work, Akili Network has launched the first free-to-air children’s channel in Kenya, Akili Kids! TV, created for the 20 million children under the age of 15, their parents and caregivers. It couldn’t have come at a time of greater need, with schools closed and millions of children who cannot even leave the house because of the pandemic.

Our hope is to build the most trusted children’s and family brand in Kenya, with a curated selection of entertaining programs, each with clear learning outcomes, licensed from around the world, as well as original programming developed in Kenya, with Kenyan talent.We are working with incredibly talented local producers and content creators, and hope to create long-lasting and mutually beneficial relationships with everyone we work with.

We have created an incredibly protective child advertising policy to ensure the safety and well being of all of our viewers. We could not be more humbled to finally watch our broadcast on air.

Tune in to AKILI TV, available on Free-to-Air, across Kenya.