19/09/2025
𝐍𝐄𝐄𝐌𝐀 𝟐𝟐𝐍𝐃𝐓𝐇 𝐒𝐄𝐏𝐓 𝐖𝐑𝐈𝐓𝐓𝐄𝐍 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
Hii ni ya mwisho wakuu...utapita bila kuweka LIKE?
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Eish ona sasa Babu Jay na Isabel kwa bed! Walipigiwa simu wakaambiwa Eddy ako stable sasa,so he is out of danger. Alafu sasa imagine,venye tu walileta Rachael akakaa nao,tena Eddy akuje kukaa nao😂😂😂drama after drama.
All in all Isabel alitoa wazo,akaambia mumewe, kuna kitu nilitaka kukuambia na usichukulie vibaya. Isabel akamwambia ulikubali ndoa ya Amani na Jojo ikaendelea,sai venye Neema ako na mimba,kutaendaje sasa? Sai washarealize,hawangeallow ndoa ya Jojo na Amani.
Isabel aliambia Babu, we have to do the right thing, tusiposiba ufa tutafuata nyavu,so Amani na Jojo hawaezi kaa pamoja. Babu Jay na Isabel wameamua lazima wafanye kitu ndoa ya Amani na Jojo iishe 😂😂😂
Huku hosi,Neema alikazana akasema atabaki huku but Amani alikua amejioffer kukaa na yeye Neema aende ju ako ball but Neema akawaambia si mara ya kwanza kuwa mimba nakaa na baba mtoto wangu huku hadi morning 😂😂Mark akisikia hivyo,anatamani kuchizi...
Punde si punde,following day sasa,hawa washaamka,walisikia kuna mtu anabisha. Ian akaamua kuenda kufungua,lakini kufungua,kumbe ni Jayden,amelewa,amechafuka,na vibaya sana. Jayden alijileta mwenyewe akiwa amelewa vibaya sana. Akaona Amani hapo,akataka kumsalimia lakini Amani akampush,akamwambia usijaribu kuniguza wewe...Mark akaambia Amani yoh,tulia! Jayden anawambia relax joh,nilikuachia bibi alah 😂😂😂
Val ni mapenzi tu,anaamka morning kupigiwa simu na ile sauti ya Derrick unaeza dhani anatafuna chura. Val anabambika mbaya sana. Kumbe Sharon alimsikia,akakuja akamuuliza unaongea na nani wewe? Val akamwambia yoh,hutanipimia venye nitakua naongea na mabeshte zangu...Sharon akijua huyo ni Derrick!!!
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Eddy tangu afaint jana ndio anafenduka sai,anajipata ako hosi.
Jayden hakua na maneno alitaka tu kuwasalimia na aende but Mark akamwambia karibu breakfast. Jayden hakutaka chai ju niwaambie tu mapema mapema,hawa watu huvuta bangi hawa hawapendi chai kabisa,ulizeni Pauloh basi k**a mnadhani nadanganya 😂😂
Mark aliInsist,akaambia Jayden noo,kaa chini ukunywe chai. Ian akaendea cup ingine. Ona venye Jayden anakaa,yani Isabel anamuangalia anakosa kuamini hadi akaanza kulia,hadi Jayden akamwambia yoh,shosh mbona unalia? Isabel akamwambia ni venye nalia tu ju nilikua nimekumiss sana but Isabel analia ju haamini huyu ndio the clever kid,mwenye alifika university na sai kazi ni pombe na bangi.
Nurse walikuja wakaangalia Eddy,akawauliza nyi ni nani? Daktari akamwambia mimi daktari na hapa ni hosi,ulidungwa kisu vizuri but sai uko sawa. Eddy akaulizia Karen ako wapi? Daktari akamwambia usiwe na wasiwasi ako sawa hata nje your daughter na mamake ndio wako around. Neema wakaenda kuitwa.
Eddy alifurahi sana kuona familia yake hapo.
Jayden aligonga chai na akaambia Mark,asante sana sai sasa naingia job,kuokota plastics siku iishe. Jayden huyoo akataka kuondoka lakini Ian akauliza Jayden,what happened,umechange sana shida ni nini? Jayden alihepa hilo swali,kisha huyoo akajitoa.
Isabel aliambia Mark please,Jayden anakuhitaji,msaidie.
Mark ilikua aende arudi hosi,akajitoa pia.
Ahaa! Kumbe Jayden hata alikuja na gari yake,alikua amepark huko nyuma. Mark akitoka akamuona akamuuliza wee,so hii ndiio kazi unafanya na hii gari? Jayden akamwambia yeah,nataka nifike mtaa nikifika niende mjengo. Jayden alitembea na mkokoten yake hapo.
Jayden aliambia Mark,manze life,inabidi nisonge nayo venye inafaa,ukiona nafanya mkokoteni usishangae na pia nakuanga dancer wazimu mbaya. Mark akaitisha number ya Jayden lakini Jayden akamwambia manze hata simu sina mimi ukinitaka,ni ile place tu!
Eddy alipata time ya kuomba msamaha kwa Neema but Neema akamwambia please for now, concentrate na recovery anything else baadaye. Eddy akamwambia life is short,na siezi taka kutoka hii dunia k**a hamjanisamehe. Jojo aliambia babake tushakusamehe and we love you. Eddy akakageukia Neema,akamwambia please nisamehe my love. Neema akamwambia I forgive you and yeah we love you.
Please Follow Okullo Foundation
Weldy Brian