24/03/2025
Nairobi CBD is so exhausting..
Mara unachunga simu isiibiwe, uchunge usigongwe na nduthi, mwingine anatembea ni k**a haoni mtu mbele, Mara hawker anakulazimisha ununue dawa ya panya, mara makanga anakutusi juu umekataa kuingia gari ya Rongai na unaishi Kiambu.
Waaah!