
23/05/2025
Hivi leo kuna picha tumepokea kutoka kwa page la msanii Dennis Dardz k**a ameshika simu aina ya Samsung Galaxy S25 Ultra na ukiangalia vizuri hii ni selfie kwa hiyo ni simu ameweza kununua. Sijui k**a mnafahamu bei??? Sasa habari ni kwamba msanii Dardz aliweka caption ya kwamba amerudi kwenye mziki na ni ukweli maana kupitia tiktok aliweka post flani akiwa studio na mziki haujawahi kusikika.
Kazi hapa tunayo na k**a tunamtakia mafanikio🙏