26/09/2025
Karibu kwenye Sauti za Injili hii Ijumaa.
Tumekuandalia burudani tele pamoja na ujumbe wa kutia moyo. Jiunge nasi pamoja na familia na marafiki zako ili uburudike na kufurahia muziki wa injili.
Kumbuka, kipindi hiki ni kila Ijumaa kuanzia saa kumi hadi saa kumi na mbili jioni, kila wiki kikiendeshwa na Fenny Abrams.