99.9 ghetto fm

99.9 ghetto fm Ghetto Fm is geared towards building a social platform for social justice for slum dwellers.

Je,unaona lack of attention &time inaeza changia kuvunjika kwa mahusiano ama ndoa?  Sunday nami Elizabeth Mbula  kuanzia...
06/07/2025

Je,unaona lack of attention &time inaeza changia kuvunjika kwa mahusiano ama ndoa? Sunday nami Elizabeth Mbula kuanzia sasa hadi saa moja.

Kiongozi nimedunda na SPORTSTIME hadi 4pm Uko tuned ukiwa wapi Mada ,,Kule EPL unawakilisha team gani Mwanasporti Talk t...
05/07/2025

Kiongozi nimedunda na SPORTSTIME hadi 4pm
Uko tuned ukiwa wapi
Mada ,,Kule EPL unawakilisha team gani Mwanasporti
Talk to me 0715070160
This is @ GHETTO FM

Karibu ndani ya Show Kubwa   ya Ghetto, kuanzia saa nne asubuhi hadi saa saba mchana ukiwa nami .Ikiwa siku ya Ijumaa, m...
04/07/2025

Karibu ndani ya Show Kubwa ya Ghetto, kuanzia saa nne asubuhi hadi saa saba mchana ukiwa nami .
Ikiwa siku ya Ijumaa, msikilizaji nakuuliza je ni vyema mwanaume kuendea mahari aliyotoa kwa wakwe zake baada ya kuachana na mkewe?
Tuma maoni yako kupitia 0715070160

Hii Leo kwenye magazeti99.9 ghetto fm
04/07/2025

Hii Leo kwenye magazeti
99.9 ghetto fm

Good morning ?. Tunazo sababu za kumshukuru Mungu Kwa kutuamsha tena maana Sisi sii wakamilifu sana..Hii ni Pambazuka nd...
04/07/2025

Good morning ?. Tunazo sababu za kumshukuru Mungu Kwa kutuamsha tena maana Sisi sii wakamilifu sana..Hii ni Pambazuka ndani ya mitambo ya Ghetto FM

Hello mras, vipi! Karibu kwenye mpango mzima wa regeae Nami Mc Kaparo Mmoja Hadi hapo saa moja...kwenye mada:Tutawezaje ...
03/07/2025

Hello mras, vipi! Karibu kwenye mpango mzima wa regeae Nami Mc Kaparo Mmoja Hadi hapo saa moja...kwenye mada:Tutawezaje leta usawa kwa jamii?

Hello karibu ndani ya show @ day la vijana...Hii Leo tunakuulizaje kuna utofauti gani Kati ya utunzi wa  nyimbo za kale ...
03/07/2025

Hello karibu ndani ya show @ day la vijana...Hii Leo tunakuulizaje kuna utofauti gani Kati ya utunzi wa nyimbo za kale na za sasa . Sema Nami junior ikiwa ni TBT Thursday....0715070160

Ikiwa TBT, karibu ndani ya Show Kubwa   ya Ghetto.Hii leo msikilizaji nakuuliza ikiwa TBT ni jambo gani ushawahi fanya u...
03/07/2025

Ikiwa TBT, karibu ndani ya Show Kubwa ya Ghetto.
Hii leo msikilizaji nakuuliza ikiwa TBT ni jambo gani ushawahi fanya ukiwa shule ya msingi mbaka waleo wakumbuka?
Ungana nami kuanzia saa nne asubuhi hadi saa saba mchana
Tuma maoni yako kupitia 0715070160

Hello wadau leo ikiwa ni Wednesday WCD ungana nami ndani ya 99.9 fm from saa saba kamili hadi kumi. Huku tukiangazia swa...
02/07/2025

Hello wadau leo ikiwa ni Wednesday WCD ungana nami ndani ya 99.9 fm from saa saba kamili hadi kumi. Huku tukiangazia swala ya wadada na urembo..karibu ndani @ stevo junior 0715070160

Karibu ndani ya   ndani ya Show Kubwa maishayaghetto, na hii leo nakuuliza msikilizaji, je mwanake anafaa kwenda saloon ...
02/07/2025

Karibu ndani ya
ndani ya Show Kubwa maishayaghetto,
na hii leo nakuuliza msikilizaji, je mwanake anafaa kwenda saloon kusukwa nywele mara ngapi kwa mwezi ndo apendeze?
Ungana nami kuanzia saa nne asubuhi hadi saa saba mchana
Tuma maoni yako kupitia 0715070160

Hello wadau leo ikiwa ni teusday.... karibu ndani ya 99.9 fm ghetto fm.karibu kwenye kipindi ikiwa ni dau la vijana unga...
01/07/2025

Hello wadau leo ikiwa ni teusday.... karibu ndani ya 99.9 fm ghetto fm.karibu kwenye kipindi ikiwa ni dau la vijana ungana nami @ stevo junior. Huku tukiuliza je kuna maana ya urafiki??

magazetini
01/07/2025

magazetini

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 99.9 ghetto fm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to 99.9 ghetto fm:

Share

Category