Baba Talisha.

Baba Talisha. Official Baba Talisha page
(17)

23/09/2025

Early birds amkeni sasa 😃 masaa ya kuteseka ndio haya

23/09/2025

Unaamka kuniambia "Good morning." nani amekuambia tunashare timezone 😹😹

23/09/2025

Lala tu na huna walking closet😅 na staircase ukienda cinema lounge 😃🤣

Combination ya vidole na ulimi huukuwa tamukwanza ukihesabu pesaWatu wa Zentora Lounge
22/09/2025

Combination ya vidole na ulimi huukuwa tamu
kwanza ukihesabu pesa
Watu wa Zentora Lounge

Good night guys hapa ni 1:56am in Pattaya but bado  leo niko Bangkok na nakaa huko  for 3 days then niende  Dubai 💯 I ca...
22/09/2025

Good night guys hapa ni 1:56am in Pattaya but bado leo niko Bangkok na nakaa huko for 3 days then niende Dubai 💯 I can’t wait to tour Bangkok city,Thailand Adequate Safaris

Before you rush into marriage, check the family pattern of your intended spouse.There are families that don't stay in ma...
22/09/2025

Before you rush into marriage, check the family pattern of your intended spouse.There are families that don't stay in marriage, no matter how hard you try.
Adequate Safaris

22/09/2025

Tutakua pamoja katika shida na raha" amekataa kukula ugali na machungwa🤣

22/09/2025

Mi sipendi kuringa about my wealth.
K**a saa hii mpesa iko na 56 bob na niko Thailand 🇹🇭 but huwezi skia nikishout kila mahali 🤣

22/09/2025

Saying "Mimi siezi ibiwa simu" is the same as saying "Hii gas imekaa sana."
For new phones Phone Place

Roho inataka tu huyu mwenye hareply.🤣Adequate Safaris
22/09/2025

Roho inataka tu huyu mwenye hareply.🤣
Adequate Safaris

22/09/2025

Parents are the only people unaeza waachia kondoo ama kuku ushago ukirudi upate zako zilikufa zao zikabaki😹

22/09/2025

Na hii tabia ya kutext mtu jioni pekee utaniambia k**a me ni mutura🤣🤣

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Baba Talisha. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Featured

Share