The Alternative Voice

The Alternative Voice Let's Talk About Youth Development Lifestyle & Entertainment.

16/08/2026

"Walituambia hapa Homa Bay kwa sababu mko broadbased, arabara zote zimewekwa lami. Buana tumekula vumbi leo. "

~ Edwin Sifuna

16/08/2026

"Ol-Kalou wakipewa viatu, hapa Homa Bay mnapewa rungu. Badala ya boat, mnapewa panga. Badala ya gas cooker, mnawekwa kwa sanduku ya maiti. "

~ Babu Owino

16/08/2026

Trans-Nzoia governor George Natembeya leads 'tawe' chants in Ndiwa during Linda Mwananchi rally.

16/08/2026

"Tuliamka asubuhi tukakuta wamefunga barabara, lakini nyinyi watu wa Nyandiwa nataka mjipigie makofi kwa sababu mliingia wenyewe mkatoa hiyo takataka walikuwa wameweka kwa barabara."

~ Edwin Sifuna

16/08/2026

"Ruto amekuwa mtu wa kutukana watu. Anasema sisi hatuna akili, ati sisi ni mafala. Yeye si fala namna gani, k**a ndiye anaweka majambazi barabarani kuzuia watu kuja kufanya mkutano?"

~ George Natembeya

16/08/2026

Linda Mwananchi gains ground in Homa Bay after a morning of run ins with goons.

Police lob tear gas to rowdy youths in Homa bay as Linda Mwananchi make their way to planned rally.
16/08/2026

Police lob tear gas to rowdy youths in Homa bay as Linda Mwananchi make their way to planned rally.

16/08/2026

"People in Homa bay are with us, shouting 'one term'. But goons have been organized to hit at our cars. "
~ Governor James Orengo

Address

Nairobi

Telephone

+254719634548

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Alternative Voice posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share