Radio 47

Radio 47 📻 Bonge la Radio. Tunavuma kwa kishindo!
(519)

Call☎️+254793047047/+254783047047 WhatsApp:+254719739487

Watch Live: https://radio47.fm
Join WhatsApp channel: https://rb.gy/iwp64y
TikTok: https://igit.me/wHdwb
X: : x.com/Radio47_Kenya

04/09/2026

...MATESO YAKO SI YA BURE. Warumi 5:1-5... Mungu anatengeneza imani na kufanya uwe mtu ambaye si wa kukata tamaa. Kuna watu ambao ni wa kukata tamaa mbio sana sababu kuna darasa hawajapitia. Kubali hayo mateso yakutengeneze. Tukutane Galilaya!

Mama Taifa Evah Mwalili
Follow Radio 47 page: https://igit.me/lMsI3
X: http://x.com/Radio47_Kenya
TikTok: https://igit.me/wHdwb
Instagram: https://igit.me/x07C7
YouTube: https://m.youtube.com/
Join WhatsApp channel: https://rb.gy/iwp64y
Watch shows LIVE: http://radio47.fm

 ...MATESO YAKO SI YA BURE. Warumi 5:1-5Basi, kwa kuwa tumekwisha kuhesabiwa haki kwa imani, tuna amani na Mungu kwa aji...
04/09/2026

...MATESO YAKO SI YA BURE. Warumi 5:1-5

Basi, kwa kuwa tumekwisha kuhesabiwa haki kwa imani, tuna amani na Mungu kwa ajili ya Bwana wetu Yesu Kristo. Kwa kupitia kwake tumepata njia ya kufikia neema hii ambayo inatuwezesha kusimama imara, tukifurahia tumaini letu la kushiriki utukufu wa Mungu. Zaidi ya hayo, pia tunafurahia mateso yetu kwa sababu tunafahamu kuwa mateso huleta subira na subira huleta uthabiti wa moyo na uthabiti wa moyo hujenga tumaini. Tukiwa na tumaini hatuwezi kukata tamaa kwa sababu Mungu amekwisha kumimina upendo wake mioyoni mwetu kwa njia ya Roho Mtakatifu ambaye ni zawadi tuliyopewa na Mungu. Kupitia kwa changamoto unazopitia Mwana Ligi, Mungu anapata nafasi ya kukutengeneza. Anatengeneza imani, subira na unakuwa mtu ambaye si wa kukata tamaa. Kuna watu ambao ni wa kukata tamaa mbio sana sababu kuna darasa hawajapitia. Kubali hayo mateso yakutengeneze. Tukutane Galilaya!

Mama Taifa Evah Mwalili
Follow Radio 47 page: https://igit.me/lMsI3
X: x.com/Radio47_Kenya
TikTok: https://igit.me/wHdwb
Instagram: https://igit.me/x07C7
YouTube: https://m.youtube.com/
Join WhatsApp channel: https://rb.gy/iwp64y
Watch shows LIVE: www.radio47.fm

Address

Cape Media Limited, P. O. Box 599 West End Park Court, Muthaiga North
Nairobi
00606

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio 47 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radio 47:

Shortcuts

Share