JIJI TV KENYA

JIJI TV KENYA Your ultimate outlet for stories within Nairobi's Eastland region and beyond.

Magaidi wa Haiti wamefyeka nditni jamoz bwaku wakidai kuokoa rende yao. Mambaru wamekaliwa chapo design noma sana.  Wana...
03/03/2024

Magaidi wa Haiti wamefyeka nditni jamoz bwaku wakidai kuokoa rende yao. Mambaru wamekaliwa chapo design noma sana. Wanadai kumonchoa PM very fast.

Translation:

Security Forces Overwhelmed as Armed Groups Stage Brazen Assault on Haiti's Largest Prison, Escalating Political Instability as Gang Leader Targets to Topple Prime Minister Ariel Henry

Leo, Kuna mkutano ya Raia wote grassroots ya kupanga mitaratara ya county. Tujitokeze kiugwan!Translation:Today there wi...
21/02/2024

Leo, Kuna mkutano ya Raia wote grassroots ya kupanga mitaratara ya county. Tujitokeze kiugwan!

Translation:
Today there will be a public participation for the county Fiscal Strategy paper (CFSP) 2024. The public is hereby requested to attend.

Orezo William Samoei Ruto amepigwa janta brandi pale AU. Kwa hii Janta, atakuwa champe wa Institutional reforms.  Transl...
17/02/2024

Orezo William Samoei Ruto amepigwa janta brandi pale AU. Kwa hii Janta, atakuwa champe wa Institutional reforms.

Translation:

President Ruto has been appointed as African Union's Champion for Institutional Reform, replacing Paul Kagame of Rwanda who has been in that position for the last 7 years.

Governor wa Kanairo, Sakaja Johnson ametupeleka na rieng kuhusu maLong sleeve buses zenye zinakwom jiji hivi karibuni.
17/02/2024

Governor wa Kanairo, Sakaja Johnson ametupeleka na rieng kuhusu maLong sleeve buses zenye zinakwom jiji hivi karibuni.

Orezo wa Kenya, William Samoei Ruto na Mama Rachel Ruto kumonchoka hadi US on May 23rd, 2024 kupiga sherehe ya Diplomacy...
16/02/2024

Orezo wa Kenya, William Samoei Ruto na Mama Rachel Ruto kumonchoka hadi US on May 23rd, 2024 kupiga sherehe ya Diplomacy Kati ya US na Kenya.

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JIJI TV KENYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Featured

Share