
17/02/2025
Imam Wa Kwanza Kuweka Wazi Anajihusisha Na Mapenzi Ya Jinsia Moja Muhsin Hendricks Mwenye Umri Wa Miaka 57 Ameuawa Kwa Kupigwa Risasi Na Watu Waliofunika Nyuso Zao Ripoti Zikidai Aliuawa Baada Ya Kufungisha Ndoa Ya Watu Wanaojihusisha Na Mapenzi Ya Jinsia Moja.
Muhsin Alipata Umaarufu Dunia Kote Baada Ya Kujenga Na Kuongoza Msikiti mmoja Jijini Cape Town Uliokuwa Mazingira Rafiki Kwa Waumoni Wa kiislamu Wanaojihusisha Na Mapenzi Ya Jinsia Moja.
Vyombo Vya Dola Nchini Afrika Kusini Vimeanzisha Uchunguzi Kuwatia Mbaroni Wahusika.Habari Za Kifo Cha Hendricks Zimeleta Mshtuko Mkubwa Katika Jamii Ya Watu Wanaojihusisha Na Mapenzi Ya Jinsia Moja Maarufu K**a LGBTQ+.
MWANDISHI Fazul Khalid