Me Chao Media

Me Chao Media DAILY ENTERTAINMENT & NEW MUSIC

Subscribe to   pale YouTube 👇👇
16/06/2026

Subscribe to pale YouTube 👇👇

Alichosema KHALID kwenye mahojiano kupitia kwamba...

15/06/2026

Mambo yamechemka sasa Fit Khalid Ke

27/05/2026

shine


Dawida Yedu

25/05/2026

Kidogo afe mtu hapa..,.kila unachofanya kuwa makini usieke akili k**a akiba

24/05/2026

Kwa namna gani, kwa jinsi gani, kwa nini
Haswa Me Chao Music

24/05/2026

Kivipi...kwa namna gani haswa?

Huyu kijana analala humu ndani kuwaekea ulinzi Hawa waliolala ila masharti yapo kwamba hafai kuwagusa .Kwa usiku mmoja a...
23/05/2026

Huyu kijana analala humu ndani kuwaekea ulinzi Hawa waliolala ila masharti yapo kwamba hafai kuwagusa .Kwa usiku mmoja amalipwa 100k pesa za Kenya



Ni k**a ndoa Iko na mbolea ya mwili
23/05/2026

Ni k**a ndoa Iko na mbolea ya mwili

23/05/2026

Huyu mama binti yake alimbwagia watoto akakimbia Watoto wanne
Huyu mama uzunguka kuomba chakula alishe wajukuu zake.huyu mama uzunguka kuomba pesa za wajukuu zake wasome.
Mama ameenda mpaka police ili asaidiwe kumpata huyo mschana wake na ndio k**a munamsikia alivyo ambiwa uko polisi.
Sasa kuna huyu mjukuu mkubwa ambae amefanya vizuri lakini amefukuzwa shuleni hawajalipa school fees.huyu mtoto nimrembo na mwerevu sana na anataka kusoma.tumsaidieni asije akadanganywa uko nje akaona bora ajipeane tu.
Wapenzi mie nakuja mbele yenu plz turegeshe huyu mtoto shuleni jamani.
Niko chini NYOTA NDOGO

Address

Worldwide
Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Me Chao Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Me Chao Media:

Share