The Third Eye

The Third Eye Mambo ya common sense usilete huku

28/05/2024
01/11/2023

Maisha imekua ngumu ata ule subira alikua anavuta heri Sahi anavuta bangiπŸ˜’πŸ˜’

22/10/2023

Nimeingia lift na mkamba akaniuliza hapa Tunalipia ngapi 🀣🀣imebidi nimechukuwa hiyo mia mbili 🀣🀣🀣

10/10/2023

Ati Waluhya huwa wananyonga hadi na nudes za kukuπŸ€ŒπŸ‘€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

03/10/2023

Dem ni wa 2005 lakini Fajaina broh🀣🀣
Inaweza zaa hata ndama πŸ€£πŸ’” Sina ubaya mie Shepherd Pillow nasema TU ukweliπŸ™„πŸ₯±

30/09/2023

Yaanii tuko family meeting na shosh kitamboo ashatokwa tenjee πŸ™„πŸ™„mbona mnaleta hustle kwa bomaπŸ˜ͺπŸ˜ͺ

23/09/2023

P***o movies ni za watoto wa shuleπŸ˜”Mwanaume ni kunyonga na movie ya kijeshi, kukilipuka na anamwagaπŸ€ŒπŸ‘€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

19/09/2023

HIGHSCHOOL COMRADEπŸ€•

1)Nilikuwa nalala juu ya form four flani, sasa time ya kugeuka ananiambia nishuke chini nigeukie huko alafu nirudi tena juu....saitaan!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

2)Nilifungiwa chooni😁, alafu nikaambiwa niombe k**a paulo na sila hadi milango zifunguke!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

3)Siku ya admission kuna form 4 alikam ameng'ara akaniambia yeye ni bursarπŸ’”, nikampatia pocket money aniekee alafu nkampatana naye jioni akitoka DHπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...cruel cruel!

4)mimi nliambiwa nipande mifupa kwa mchanga imee nyama πŸ€“...Alafu kuna beshte yangu alishikwa akitoka dining hall na ugali madondo akaambiwa afinye hiyo ugali itoshee kwa mfuko alafu madondo aweke kwa mfuko ya shatiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†
This is just sadπŸ˜ͺ.

5)Then a guy came with a cup nimgawie sukari β˜ΊπŸ˜ƒ......akaniwachia ile nilimuwekea kwa cup akaenda na ya paper ....irony is huyu jamaa alikua anaitwa Roho safiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...such irony.

6)Mimi nakumbuka nikiambiwa nikatie box yangu mpaka niingie ndaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”.

7)Si tulikua tunapangwa k**a radio kasette kuna play,forward,rewind,stop na speakers on both sides. So the bully would hit play kwa kichwa speaker wanaimba, akigonga forward wanaimba faster😫, akigonga stop ngoma inasimama😬, usitake ona akigonga rewind kila mtu anaanguka kicheko including wenye tunateswaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….

8)Niliambiwa nipande mti ya ovacadoπŸ€”, nilipofika juu nikaambiwa ni-hang alafu nianguke k**a ovacado imeiva.........mpaka sahi mkono yangu inakuanga komboπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

9)Niliambiwa nichore mandazi ikimwaga utamπŸ˜‚πŸ˜‚.

10) And this one just made the rest of my year, bed mate wangu wa form four aliniambia nikue namwamsha akiskia kwenda choo usiku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ’₯ follow me

16/09/2023

Mwenye ameambia shosh yangu ati simu inaitwa kinembe, Ujue tu Kenya si kubwa IPO siku tutakutanaπŸ˜ŒπŸ€”πŸ™†

14/09/2023

Dem Mkonde Ameniekea doggy styleπŸ‘ nikadhani ni ngumi mbwegze nikamgotea
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”πŸ«΅

13/09/2023

Unavaa waist neads na hauna haga,,,ukitoa nguo unakaa mguu ya Masai

29/08/2023

Umewahi chunwa na zip kwa waziri wa mambo ya ndani, unatoa polepole k**a unategua kombora πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Address

Nairobi

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+254759002751

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Third Eye posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share