25/05/2026
Port Victoria ilipambwa kwa rangi za Arsenali huku mashabiki wakiongozwa na Balozi Ababu Namwamba wakifanya sherehe za nguvu kuisapoti klabu hiyo ya London Kaskazini. Shangwe, umoja na mapenzi kwa The Gunners vilitawala Bunyala.