Pamba Jiji FC

Pamba Jiji FC Pamba jiji FC fan page

Ndio tunaamka sasa! Kuna habari gani huko kutuhusu?
30/11/2025

Ndio tunaamka sasa! Kuna habari gani huko kutuhusu?

Mr. Collector has collected it! βœ… πŸ”₯MAN OF THE MATCH TODAY Kongole sana
29/11/2025

Mr. Collector has collected it! βœ… πŸ”₯
MAN OF THE MATCH TODAY
Kongole sana

HALF TIME!Tegisi Expressing His feelings. Wakenya twambieni, kuna nini huko?. πŸ˜€
29/11/2025

HALF TIME!
Tegisi Expressing His feelings. Wakenya twambieni, kuna nini huko?. πŸ˜€

Next Match! πŸ†  Pamba Jiji vs πŸ†š Dodoma JijiπŸ—“οΈ 25. 10. 2025πŸ•£ 7:00 PM - EAT
23/10/2025

Next Match!
πŸ†
Pamba Jiji vs πŸ†š Dodoma Jiji
πŸ—“οΈ 25. 10. 2025
πŸ•£ 7:00 PM - EAT

Kimewalamba Mashujaa. Hatucheki na Sokwe sisi. Tulisema tuko chimbo kuna mtu atakula za uso. Alama 3 kibindoni. Asanteni...
17/10/2025

Kimewalamba Mashujaa. Hatucheki na Sokwe sisi. Tulisema tuko chimbo kuna mtu atakula za uso. Alama 3 kibindoni. Asanteni kwa sapoti yenu!

17/10/2025

update
Pamba jiji 2 - 1 Mashujaa

17/10/2025

45'
Pamba jiji 1 - 1 Mashujaa

17/10/2025

21'
Pamba jiji 1 - 0 Mashujaa

Made in Nyamira..πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ˜€ πŸ˜„Mchezo wa msimu ulioisha aliwakosakosa, Sept 24 lazima wataokota.Yanga πŸ†š Pamba
22/09/2025

Made in Nyamira..πŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ˜€ πŸ˜„
Mchezo wa msimu ulioisha aliwakosakosa, Sept 24 lazima wataokota.

Yanga πŸ†š Pamba

Wauaji wa Kusini wametunyang'anya tonge mdomoni. Wamekataa kuuawa nyumbani kwao,  wamesawazisha sekunde ya mwisho kabisa...
18/09/2025

Wauaji wa Kusini wametunyang'anya tonge mdomoni. Wamekataa kuuawa nyumbani kwao, wamesawazisha sekunde ya mwisho kabisa πŸ™‚

Tunamshukuru Mungu kwa hii alama moja ugenini. Wanaofuata ni Young Africans, wanatukuta na hasira za kukata na hasira 😑

18/09/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Renatus Walitula, Sammy Achoki, Ogari Omari, Sylvanus Gombanila, Gregory Owilli, Babake Tiffany Tobias

Vijana wako tayari kuanza ligi. Tunasubiri pazia lifunguliwe hiyo kesho tuanze kuonesha burudani.Tufollow sasa usipitwe ...
15/09/2025

Vijana wako tayari kuanza ligi. Tunasubiri pazia lifunguliwe hiyo kesho tuanze kuonesha burudani.

Tufollow sasa usipitwe na updates za Klabu yetu pendwa.

Address

Kawekamo
Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pamba Jiji FC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Pamba Jiji FC:

Share