Kilifi Politics Club

Kilifi Politics Club Your go-to space for political news in kilifi County. News • Updates • Insights • Awareness. Men issues. Grooming boys into Young Men

31/12/2025

K**a wataka kupata mtoto huu mwaka (2026), umebakia na miezi mitatu pekee ya bidii za kitandani.

31/12/2025
31/12/2025

Tumetoka mbali, leo ni siku ya 365/365:- Ambia Mungu kitu kabla mwaka uishe leo.

31/12/2025

Presenter Kai awashauri content creators wa kilifi:-
"Chukianeni lakini msirogane🤣"

Hon. Carol Kalume - Cheupe ameonekana kutoa mwelekeo wa siasa zake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027.Amesema, “Nawasi...
31/12/2025

Hon. Carol Kalume - Cheupe ameonekana kutoa mwelekeo wa siasa zake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027.

Amesema, “Nawasikiliza watu wa Kilifi, kisha nitachukua hatua muafaka kwa wakati ufaao"

Je, unadhani Cheupe atapigania kiti gani mwaka 2027?

Historia ilifanyika jana baada ya kuandikishwa mkataba wa shilling bilioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa   la Galana Kulalu,...
31/12/2025

Historia ilifanyika jana baada ya kuandikishwa mkataba wa shilling bilioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa la Galana Kulalu, katika kaunti za Tana River na Kilifi.

Bwawa hilo litakua na uwezo wa kuzuia lita milioni 305 za maji na linatarajiwa kutoa maji salama ya kunywa kwa wakaazi 70,000, na kuboresha afya na utu wa jamii za wenyeji wa Kilifi.

PS Fikirini Jacobs"Sherehe za Tamaduni ya Mijikenda (Mijikenda Cultural Gala) zitaendelea kila mwaka na maudhui tofauti ...
31/12/2025

PS Fikirini Jacobs
"Sherehe za Tamaduni ya Mijikenda (Mijikenda Cultural Gala) zitaendelea kila mwaka na maudhui tofauti tofauti. Tuwasherehekee wakiwa hai".

Kwa huduma za sound system kwa matangazo ya hadhara, hafla za ndani na sherehe ndogo, wasiliana na Mikahunda kwa simu 07...
28/12/2025

Kwa huduma za sound system kwa matangazo ya hadhara, hafla za ndani na sherehe ndogo, wasiliana na Mikahunda kwa simu 0793885542 au Seefar kwa simu 0713555969.

Safari ya kutafuta "Mgogo wa Pwani" imepigwa imeanza rasmi, hii ni baada ya Mzee Ali chirau Mwakwere kichaguliwa k**a ms...
27/12/2025

Safari ya kutafuta "Mgogo wa Pwani" imepigwa imeanza rasmi, hii ni baada ya Mzee Ali chirau Mwakwere kichaguliwa k**a msemaji rasmi wa mijikenda huko Vishakani, Kaloleni Kauti ya Kilifi.

Address

Nairobi

Telephone

+254713814650

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilifi Politics Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kilifi Politics Club:

Share