08/08/2025
WASANII.....
CONSISTENCY
Jaribu the best you can to be consistent in your posting. Both on social media and your music. Huezi drop Ngoma January then next Una drop ingine June/August then you expect to hit.
BRANDING, PACKAGING AND MARKETING
Very important. Wewe ni upcoming unadai kutoka block, mziki yako iskike yet social media yako umejaza pictures/videos za low quality! Una post memes na vitu hazifai!!! Ama inafanya low quality Audios za 2500 na videos za 5k!!! Wacha kujidanganya
MANAGEMENT
Msanii usijidanganye that you can manage yourself!! Music industry ain't easy and kujua soko ain't as well. Ukifanya kenye unataka saa unataka, vile unataka, basi jua growth won't come.
MUSIC CONTRACTS, MONEY, GENERAL MONETIZATION
my next topic. Follow Shadow 254 and EDGE STAR PRODUCTIONS WhatsApp 0791670093 ukitaka kazi za audio na video quality